Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Sterling na Hendo hawataki kusaini mikataba yao.Liverpool wawaachie waondoke
Madudu tu hawa
Hapa jukwaani ntarudi msimu ujao.
Kwaherini nyote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sterling na Hendo hawataki kusaini mikataba yao.Liverpool wawaachie waondoke
Madudu tu hawa
Hapa jukwaani ntarudi msimu ujao.
Kwaherini nyote.
Litimu linanikera kama wekundu wa Msimbazi.Hahahahaaaa unarudi ktk location yako ya wodi ya vichaa........hahahhaaaa
Rafiki zako wanakutafuta kule jukwaa la Mbu na Wacha1 mkachambue mpira baada ya dakika 90 za 4-1.Yaa GAME is over aisee
Nyumbani hapakaliki leo maana wife ni Arsenal,heri nifungwe na yyt sio Arsenal
Anyway nitashinda Bar nirudi home usiku wa manane kaisha lala ingawaje nitakuta kitandani katandika mashuka ya Arsenal
BR siyo kocha msaidizi tu wa mazoezi
Hapa jukwaani ntarudi msimu ujao.
Kwaherini nyote.
Arsenal walikuwa bora dimbani kwenye kila idara zaidi yetu!Pengo la Skrtel na SG limeonekana dhahiri
Bao la kwanza Kolo Toure mguu umekataa kupinduka,goli la 2 na la 3 Mignolet alijipanga vibaya na bao la 4 sababu tuliisha kuwa pungufu
Litimu linanikera kama wekundu wa Msimbazi.
Faraja pekee kwa sasa naipata kwa Barca na Guinness Beer ya baridi
Alisema mpira ukiisha atakwenda chambua mpira ,sasa namsoma hapa anasema akwenda kuhamia baa. Imekuwaje tena? Au amegeuka ushauri aliowapa ndugu zake?Nonda msamehe bure
Hebu twende PM tukaambizane namna ya kutafutana. Hapa pamekuwa pachungu.Mtani wangu usikimbie bana mimi nitakumiss bana, pole sana ndo soka hilo.
Nilikusahau mpenzi. Unajua tena maumivu kila sehemu mpaka nachanganyikiwa.Na pia mimi nakupatia faraja, umesahau?
Alisema mpira ukiisha atakwenda chambua mpira ,sasa namsoma hapa anasema akwenda kuhamia baa. Imekuwaje tena? Au amegeuka ushauri aliowapa ndugu zake?
Link https://www.jamiiforums.com/sports/871-arsenal-special-thread-2075.html#post12337861
Link https://www.jamiiforums.com/sports/871-arsenal-special-thread-2075.html#post12337948
Link https://www.jamiiforums.com/sports/871-arsenal-special-thread-2076.html#post12348802
Hebu twende PM tukaambizane namna ya kutafutana. Hapa pamekuwa pachungu.
Nilikusahau mpenzi. Unajua tena maumivu kila sehemu mpaka nachanganyikiwa.
Naukuomba dua ufanikiwe kelele zipungue mjini....Pole sana, naja chap chap ila nivumilie nami nina kakimeo kanaanza muda si mrefu.
Sterling na Hendo hawataki kusaini mikataba yao.Liverpool wawaachie waondoke
Madudu tu hawa