Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

If you cant support us when we loose,dont support us when we win.. Bill shankly.
Ila kiukweli timu yangu inanipa huzuni,sijui huwa tunakosea wapi. Maana kila tumalofanya ni bure kabisa.

"Nlikuwepo":bolt:

Kwambali naiona safari ya Brendan inakaribia.....
 
Kuwa shabiki wa LFC unahitaji kuwa na moyo wa chuma aisee.

Kuna wakati kipimo cha kufahamu kama huna magonjwa kama kisukari na shinikizo la damu yalipimwa kwa kushabikia Arsenal, sasa nadhani vipimo vimehamia Liverpool. Kwa kweli kama hujafahamu status ya afya yako shabikia Liverpool tu ukijiona hupati mtikisiko kwa wakati huu wewe uko fit.
 
Asante Mkuu!!aisee tuko pabaya sana

Sio pabaya ndipo mnapostahili kwa miaka yote ambayo Man U imekuwa kwenye utukufu wake, mwaka jana tuliwapa kukaimu wakati tukimjaribu The Chosen One mkashindwa wenyewe kwa kusajili watoto wasio kwenda na pumzi ya ngoma ya kiutu uzima ikifika saa 12 jioni wanasinzia wote.
 
Mnamsingizia bure Babu wa watu Steve Gerald, kwani na leo mlikuwa pungufu? Poor Loserpool ni nani aliyewaloga nyie....

CC: Malafyale.
 
Last edited by a moderator:


Ok mkuu!

Rafa ndio mkombozi wenu au hao wamiliki wa timu waamue kununua wachezaji wenyewe viwango vikubwa lkn sio hawa alionunua BR.....
 

Haya mkuu, sikupatii picha mwaka jana ulikuaje, Inaonesha ulikua mpole kupitiliza
 
Man Utd ndani ya lawama tena

Mkuu nadhani ujanielewa, team ilishaonesha kukosa muelekeo tokea Mechi na Swansea!Ile mechi ya Swansea tulishindia bahati tu. Kabla ya hapo niliamini ikitokea tumepoteza game yoyote epl, basi tutarudi tulivyokua
 
Mkuu nadhani ujanielewa, team ilishaonesha kukosa muelekeo tokea Mechi na Swansea!Ile mechi ya Swansea tulishindia bahati tu. Kabla ya hapo niliamini ikitokea tumepoteza game yoyote epl, basi tutarudi tulivyokua

Mkuu upo sahihi , tatizo kocha lako halijui hata kusoma mchezo ni kukariri tu
 
Nimegundua tatizo kubwa la LFC wala sio kocha,ni ile timu yake iliyojaa mediocre players,leo hii BR huyuhuyu ukimpa timu kama Chelsea au Man city anashinda EPL
 
Nimegundua tatizo kubwa la LFC wala sio kocha,ni ile timu yake iliyojaa mediocre players,leo hii BR huyuhuyu ukimpa timu kama Chelsea au Man city anashinda EPL

Mkuu napingana na wewe, huyu kocha hapo ndio uwezo wake umefikia mwisho, hata ukimpa Chelsea ataleta wachezaji wake aliowakuta atawaondoa, Na anabahatisha ktk usajili

Alivokuja liver , hendo, starling na Lucas alitaka kuwatumbukiza sokoni

Wamuondoaje agger unamuwacha kolo?

Unamuondoaje suso unamuwacha Lambert?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…