Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bila new owners LFC itabaki kuwa timu ya historia tu.
These American owners are so stingy.

Makes plenty of sense. We need owners who can take ownership of LFC football affairs.

Hata sisi hatuachagi mambo yote ya domestics kwa house-girls/boys tunaowaajiri, lakini ndicho wanachofanya hawa Yankees kwa sasa. They make my gut feel sick!

Binafsi silaumu manager (a very good technician) wala wachezaji (a bunch of pretenders). Nitaendelea kulaumu wrong mentality ya FSG wanaoichukulia timu yetu kama ni club ya kawaida.
 
Wakuu hawa City tunaweza kuwashika hawa, Let us wake up tukimbizane na hao wajuu. Mpaka sasa City kalala 2-1 kwa Palace
 
Gerrard si bado ile adhabu inamfuata hadi huku kwenye FA au?

Nina wasiwasi sana kama mtatoboa hiyo game kwa kweli.

EPL,FA na Capital One yote yanaandaliwa na chama cha soka cha Uingereza

SG kaisha kaa mechi ya Arsenal nje so bado hii ya FA na ijayo ya Newcastle
 
Makes plenty of sense. We need owners who can take ownership of LFC football affairs.

Hata sisi hatuachagi mambo yote ya domestics kwa house-girls/boys tunaowaajiri, lakini ndicho wanachofanya hawa Yankees kwa sasa. They make my gut feel sick!

Binafsi silaumu manager (a very good technician) wala wachezaji (a bunch of pretenders). Nitaendelea kulaumu wrong mentality ya FSG wanaoichukulia timu yetu kama ni club ya kawaida.

Mkuu FSG ni big pbm kwetu aisee,ila pamoja na hayo BR nae bado sana katika baadhi ya maeneo. Kama kweli anaipenda kazi yake angetia mgomo wa LFC kununua average players kama ma manager wenye akili wafanyavyo. Haya aliyataka yeye mwenyewe maana hili linalotokea ndio lile ambalo Roberto Martinez alilikataa FSG walipotaka kumpatia team ila yeye BR alilikubali na kutoa promise ya kufanya mazuri within 5yrs.

Ila bado nitampongeza BR kwa kufanya vzuri mwaka jana huku akiwa na bajeti ndogo kabisa.
 
Hawa owner kama unawaonea, kocha wako ndio tatizo, msimu mmoja amesajili magarasa Tisa useless, inamaana timu nzima haifai!! Na ndio ilishika nafasi ya pili , labda kosa lao kuto mbadilisha kocha

Mkuu BR katika career yake as a manager hajawahi kupewa kiasi cha pesa kama alichopewa na LFC kwa ajili ya kununua wachezaji (more than 100mil pnds), So it was just a panic buy, He failed to address our problems.
 
SG, Emre Can, skritel, Ibe, wote hawapo!

Nahis itabid turud kwenye back 4!

Kolo na Allen wasianze kabisa Aisee! Lovren then Lucas and hendo in the middle!

Kabisa mkuu 3-4-3 bila Skrtel imetufanya tunakua very exposed. May be Manager ajaribu 4-1-3-2 inaweza ikatuhifadhi uyo mmoja mbele ya 4 awe Lucas.
 
Msikonde, tumemaliza mechi za kufungwa, by the time we meet chesii tutakua na full skwad
 
Msikonde, tumemaliza mechi za kufungwa, by the time we meet chesii tutakua na full skwad

I hope so Mkuu!ila tatizo la striker bado linaninyima confidence sana, maana hata game nyingi zilizopita tulikua tunafunga goli bila striker naona wale waliokua akifunga mpira umekataa. Ule ubutu kama unaonekana ukizingatia DS15 hajawa fit vzuri.
 
Hata Balo au Borini can do better

Studge is not longer playing with fire, he is like "yeah thats it"
 
Kabisa mkuu 3-4-3 bila Skrtel imetufanya tunakua very exposed. May be Manager ajaribu 4-1-3-2 inaweza ikatuhifadhi uyo mmoja mbele ya 4 awe Lucas.

Aende kwenye 4-3-3 au 4-4-2!

Hatuna midfield wa maana wa kuhold mipira kwenye hiyo 4-1-3-2!
 
Game ya swansea ndo ilikuwa "dalili" ya kufeli kwa huu mfumo au ndo ilikuwa dalili kuwa players should play in their favourable position, but BR failed to address that problem!

Karudia kosa hilo hilo against United, then wakat tunadhan atarekebisha mambo, this time ndo kabisa akaharibu dhid ya Arsenal, we used to see Hendo and Lucas in the middle katika 3-4-3, but Allen akapenyezwa, hendo ambaye ndo power house ya kiungo chetu akapelekwa kulia, kolo (45) started ahead of Lovren (25),

Kwenye game hiz MBILI lawama zote nampa BR coz as a Manager he always flops when it matters!
 
let the boy go and we start afresh

he wont make it at RM,

The problem is, tutauza Raheem kwa 55mill, na tutaspend tena hiyo hela kwa promising players!

Then after 2 years tutauza tena IBE, na tutaspend hiyo hela kwa promising players! Hapo Ojo au Sinclair ndo atainuliwa kama ibe sahiv, ambao nao pia tutawauza!

The thing is, we're becoming a selling club!

Coutinho yupo kimya sahiv, but with Iniesta edging to the end of his prime, won't be suprised if cou will be their next target! And he won't hesitate to leave, coz as a Club we got NO ambitions kabisa!
 
Mkuu MosDef umenena kitu ambacho always kina rotate kwenye akili yangu...sasa nimeanza kuwaelewa hawa FSG hawana ambition kabisaaa..yaani wao Ni wafanyabiashara..wananunua wachezaji kwa pesa ndogo,wanampelekea BR anawafundisha then wanapanda thamani wanawauza...that's exactly what is done there kaka...

Club ya Liverpool niliyoifahamu Mimi sio ya dizaini hii...huu Ni upuuzi....na hali ikiendelea hivi binafsi itaniondolea morale ya kuishabikia timu yangu...nitaamua kuachana na EPL na sidhani kama nitakuwa nimejitendea haki...

the worst thing is that inaonekana hawa FSG hawana hata plan ya kuiuza timu hii kwa wawekezaji wengine wenye ambitions zao za maana...as long as wanapata faida..wao hawaoni kabisa kama wanatuumiza sisi mashabiki....
 
Last edited by a moderator:
Mkuu FSG ni big pbm kwetu aisee,ila pamoja na hayo BR nae bado sana katika baadhi ya maeneo. Kama kweli anaipenda kazi yake angetia mgomo wa LFC kununua average players kama ma manager wenye akili wafanyavyo. Haya aliyataka yeye mwenyewe maana hili linalotokea ndio lile ambalo Roberto Martinez alilikataa FSG walipotaka kumpatia team ila yeye BR alilikubali na kutoa promise ya kufanya mazuri within 5yrs.

Ila bado nitampongeza BR kwa kufanya vzuri mwaka jana huku akiwa na bajeti ndogo kabisa.

Sawa mkuu, nakubali BR naye ana share yake ya blame (esp kwenye usajili).

Ninachokipinga ni watu kumwangushia yeye pekee jumba bovu wakati mimi naona anajitahidi sana ukizingatia aina ya wachezaji alio nao. Sasa sijui zile needless red cards pia tutamlaumu BR?

These days football success is all about money, nothing else. Na commitment hii FSG wasimwachie BR peke yake - wahakikishe wanai-manage directly. It's now down to them (FSG) to do a Chelsea or ManCity ambao miaka kumi iliyopita or so walikuwa nobodies lakini thanks to commitment ya owners sasa hivi ndiyo football powerhouses si EPL pekee bali UCL pia.

The Yankees need to start buying the best or else sell LFC to the Arabs / Russians!
 
Mkuu MosDef umenena kitu ambacho always kina rotate kwenye akili yangu...sasa nimeanza kuwaelewa hawa FSG hawana ambition kabisaaa..yaani wao Ni wafanyabiashara..wananunua wachezaji kwa pesa ndogo,wanampelekea BR anawafundisha then wanapanda thamani wanawauza...that's exactly what is done there kaka...

Club ya Liverpool niliyoifahamu Mimi sio ya dizaini hii...huu Ni upuuzi....na hali ikiendelea hivi binafsi itaniondolea morale ya kuishabikia timu yangu...nitaamua kuachana na EPL na sidhani kama nitakuwa nimejitendea haki...

the worst thing is that inaonekana hawa FSG hawana hata plan ya kuiuza timu hii kwa wawekezaji wengine wenye ambitions zao za maana...as long as wanapata faida..wao hawaoni kabisa kama wanatuumiza sisi mashabiki....

Am certain kuwa FSG watauza team, but hii ni mpaka upanuzi wa Anfield ukamilike, ili wauze kwa faida kubwa zaidi!

FSG had a good policy wakat wanaichukua team, walitaka LFC ianze upya tena (baada ya Daglish kufeli) that's why wakamchukua kocha kijana kabisa ili aanze kuisuka team upya, but kama Owners walitakiwa wajue team ni LAZIMA iwe na DOF, BR hakutaka DOF but ye siyo owner wa LFC, nadhan kama tungekuwa na DOF hata hiz promising talents tunazozichukua zingekuwa za maana kidogo (ilaramend, lucas silva, Firminho, Shaqir, papadopolous, montoya, morata, carvaliho, Danilo etc) lakin tunafel kutokana na ukiritimba uliopo kwenye team, kungekuwa na DOF sidhan kama transfer commitee ingekuwepo!

Kungekuwa na DOF, Aspas, Borin, cissokho, allen, luis Alberto, etc wasingesign kabisa, comolli japokuwa alikuwa na mapungufu but alikuwa anatusaidia kwenye usajili, alimleta Suarez! But comolli hakuwa na nguvu mbele ya Ayre na Daglish, na sasa BR hana nguvu mbele ya Ayre, but as a manger mtu kama Ayre hatakiwi kukusumbua, coz team ikifeli manager ndo utalalamikiwa na siyo Ayre, ayre kaz yake itaendelea kuwepo, na hapo napo FSG wameshindwa kupatatua, Manager ndo anatakiwa awe mtu wa mwisho katika maamuzi, bt the owners wanamsikiliza Ayre, scousers wenye vyeo LFC used to hate on Benitez Coz alikuwa hatak kuburuzwa wala kuamuliwa vitu, ndo maana idea ya kumrudisha LFC huwa inagoma! BR hayupo hivyo!

Na as long as tutakuwa tunapromote na kuwakuza youngsters, team haitaendelea, coz at the end tutawauza madrid au Barca, na kupandisha tena youngsters wengine, hiyo system ishafel Arsenal na inafeli kule Dortmund, na Benifica inazidi kuwa si kitu Ulaya na Sevilla inazidi kuwa club ya kawaida spain just like us pale Uingereza, tunauza Sterling, then tutauza Cou, ibe, Can, Markovic, Moreno etc..then tutanunua kina Vietto na baadae tutawauza tena! That's how it works now, policy ya FSG ishafeli na sasa wanaAim katika Faida tu, mpaka upanuz utakapokamilika wauze club!

FSG wamefeli, Ayre amefeli, na BR as a Manager kama aspochukua FA cup atakuwa amefeli pale Anfield, Manager huwez kuamuliwa mambo na commitee au Ayre ambaye yupo kwenye kitengo cha commercial, manager and his coaches ndo wanatakiwa waamue usajili wa mchezaji!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom