Mkuu
MosDef umenena kitu ambacho always kina rotate kwenye akili yangu...sasa nimeanza kuwaelewa hawa FSG hawana ambition kabisaaa..yaani wao Ni wafanyabiashara..wananunua wachezaji kwa pesa ndogo,wanampelekea BR anawafundisha then wanapanda thamani wanawauza...that's exactly what is done there kaka...
Club ya Liverpool niliyoifahamu Mimi sio ya dizaini hii...huu Ni upuuzi....na hali ikiendelea hivi binafsi itaniondolea morale ya kuishabikia timu yangu...nitaamua kuachana na EPL na sidhani kama nitakuwa nimejitendea haki...
the worst thing is that inaonekana hawa FSG hawana hata plan ya kuiuza timu hii kwa wawekezaji wengine wenye ambitions zao za maana...as long as wanapata faida..wao hawaoni kabisa kama wanatuumiza sisi mashabiki....
Am certain kuwa FSG watauza team, but hii ni mpaka upanuzi wa Anfield ukamilike, ili wauze kwa faida kubwa zaidi!
FSG had a good policy wakat wanaichukua team, walitaka LFC ianze upya tena (baada ya Daglish kufeli) that's why wakamchukua kocha kijana kabisa ili aanze kuisuka team upya, but kama Owners walitakiwa wajue team ni LAZIMA iwe na DOF, BR hakutaka DOF but ye siyo owner wa LFC, nadhan kama tungekuwa na DOF hata hiz promising talents tunazozichukua zingekuwa za maana kidogo (ilaramend, lucas silva, Firminho, Shaqir, papadopolous, montoya, morata, carvaliho, Danilo etc) lakin tunafel kutokana na ukiritimba uliopo kwenye team, kungekuwa na DOF sidhan kama transfer commitee ingekuwepo!
Kungekuwa na DOF, Aspas, Borin, cissokho, allen, luis Alberto, etc wasingesign kabisa, comolli japokuwa alikuwa na mapungufu but alikuwa anatusaidia kwenye usajili, alimleta Suarez! But comolli hakuwa na nguvu mbele ya Ayre na Daglish, na sasa BR hana nguvu mbele ya Ayre, but as a manger mtu kama Ayre hatakiwi kukusumbua, coz team ikifeli manager ndo utalalamikiwa na siyo Ayre, ayre kaz yake itaendelea kuwepo, na hapo napo FSG wameshindwa kupatatua, Manager ndo anatakiwa awe mtu wa mwisho katika maamuzi, bt the owners wanamsikiliza Ayre, scousers wenye vyeo LFC used to hate on Benitez Coz alikuwa hatak kuburuzwa wala kuamuliwa vitu, ndo maana idea ya kumrudisha LFC huwa inagoma! BR hayupo hivyo!
Na as long as tutakuwa tunapromote na kuwakuza youngsters, team haitaendelea, coz at the end tutawauza madrid au Barca, na kupandisha tena youngsters wengine, hiyo system ishafel Arsenal na inafeli kule Dortmund, na Benifica inazidi kuwa si kitu Ulaya na Sevilla inazidi kuwa club ya kawaida spain just like us pale Uingereza, tunauza Sterling, then tutauza Cou, ibe, Can, Markovic, Moreno etc..then tutanunua kina Vietto na baadae tutawauza tena! That's how it works now, policy ya FSG ishafeli na sasa wanaAim katika Faida tu, mpaka upanuz utakapokamilika wauze club!
FSG wamefeli, Ayre amefeli, na BR as a Manager kama aspochukua FA cup atakuwa amefeli pale Anfield, Manager huwez kuamuliwa mambo na commitee au Ayre ambaye yupo kwenye kitengo cha commercial, manager and his coaches ndo wanatakiwa waamue usajili wa mchezaji!