Napungana na nyie aisee
Vipigo viwili mfululizo vimewachanganya wachezaji hasa wakifikiria kuwa likely wakakosa CL football next season
Leo ushindi itafanya confidence ya wachezaji irudi na tukishinda J3 na Newcastle you will see a real LVFC
Mkuu team mbele iko ovyo mno yani shukrani kwa Coutinho amekua anaokoa jahaza mara nyingi. Mi huwa tukisubiri goli najiuliza nani wa uhakika kutufungia ilo goli anytime maana uyu DS amekua anaruka ruka tu, Kati napo hapajakaa vizuri Blackburn hawana viuongo wa kati la sivyo tungekumbana na shida, defence sote tunaifahamu haswa baada ya Skrtel na CAN kuwa nje.
Asante kwa Hendo na Coutinho kwa zile one-two nzuri, LFC HATUNA STRIKER!!Hope we can make into top4

Usiwe na wasi wasi na top 4
Man U hawachezi CL mwakani hii haijabadilika na wataanza kunielewa baada ya Jumapili na week ijayo
Kushinda kwao kwa furumbu furumbu mwisho ilikuwa na Villa
Hiyo Top FOUR itakuwa ya Vodacom Premiere League wenyewe wanaita VPL! LOL
Kaka yangu bana nilikwambia toka ile January kwamba Man U hii hii unayoiona dhaifu ndiyo itasonga mbele nadhani sasa umejionea kwa macho, sasa hivi si Man U ile dhaifu tena bali ni kikosi ambacho kimekamilika kwa Vita ni vijimambo vichache tu vya kurekebisha kuanzia sasa ni ushindi ushindi kwa kwenda mbele kurudi nyuma mwiko .
Jumapili najua utanikimbia dada yangu!Week ijayo pia utanikimbia hapa tena ehehehehe