kitwala
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,476
- 1,066
Nimekuja kuwapa hongera watani zangu, niwatie moyo tu, hili kombe ni lenu kabisa.
Achaneni na mbio za big 4 hata kama Shitty tutambutua j2, nyie jikiteni kwenye hili kombe ambalo mgumu kabaki Arsenal tu ambaye nna uhakila mtalipa kisasi.
Kila la heri