Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi ni kwa nini Liverpool na Manchester United huwa mnalazimisha wachezaji kuendelea kuchezea timu zenu? Kila wakati mchezaji akitingisha kiberiti kusaini mkataba wa kuendelea kuchezea timu zenu Wapenzi na Washabiki wanamjia juu kumzomea, vitisho vya vifo, kumwandama hadi nyumbani kwake nk. Sterling sasa hivi yupo katika wakati mgumu, Wana-Liverpool wanamsakama kila kona akitazayo sababu tu anajisikilizia kusaini mkataba.Huwezi kuona ARSENAL taifa kubwa tukimbembeleza mchezaji ki-hivi. Kina Henry, Petit, Anelka,Overmass, Edu, Fabregas, Adebayor, Nasri nk waliuzwa pindi walipotaka kuondoka, tofauti na Liverpool mlivyomfanyia Steven Gerrard Enzi zile halikadharika Manchester United walivyowafanyia Tevez,Heinze na Rooney. Huku kumbembeleza kuna maana gani kwa vilabu Vikongwe nasema tena vikongwe( angalia kamusi ya vikongwe/mkongwe/kikongwe) katika medani ya Soka England? Je hizi ni dalili za mvua au?

Btw hivi badala ya kutag watu unaweza kupost one article katika multi threads bila ya kuiandika zaidi ya mara 1?

Cc: DonDonald,Malafyale,Belo, Kitwala,RRONDO,Ntuzu,Everlenk,BAK,Wacha1,utafiti,Nzi
 
Kwasababu Arsenal ni chuo cha mafunzo hupita hapo kupata maujuzi sasa mtu hawezi lazimishwa kusoma wakati ni kwa faida yake na muda ukifika hana budi kutoka aingie kwenye real world,sasa huko kwenye real world kuna kanuni zake na jinsi soko litakavyomruhusu.
 
DRAW WILL BE A GOOD RESULTs

Mkuu mi naona apigwe mtu leo, maana yoyote anayepigwa leo KAMA tukikomaa nae TUNAWEZA mshika, ikiwa TU tutakua tunafanya vizur game zetu.

City na Utd wote fixture zao bado ngumu. Anything can happen
 
City ana games nzuri zimebaki, akipigwa hakuna guarantee, Manure ana game ngumu lakini pia its a team on form, so you better have two chances kuliko ibaki moja... I dont see city losing three games kati ya 7 zilizobaki, same for manure, but i see a number of draws zitakazosaidia chances
 
Soccer bana wala haizaniiki Mkuu, Naamini hukutaraji City kupoteza kwa Burnley wakati aki fight kutaka ubingwa, bado tusisahau ana Spurs na Soton wanaoitaka hii hii top4 ukiacha WestHam wa Europa. Kuhusu United jst imagine anapoteza leo kisha anapoteza nxt week dhidi ya Chelsea gap litakua ngap(simaanishi kua UTD leo tayari ameshapoteza). Kupoteza mechi ni moja ya njia ya ku demoralise team spirit. LFC ndio team pekee iliyokua inaonekana kwenye form mwaka huu kwa kutopoteza game hata moja epl in 2015 but baada ya kuonja kupoteza imeyumba.

Anyway, sabab ni soccer basi lolote laweza tokea mechi 6 zijazo hata kama leo zikitoka sare ama hata mmoja akifungwa. I do respect unachokitamani kitokeee, Sisi kama LFC pia we have to work hard pia.
 
ni kweli, we have put ourselves into a difficult situation, some moments of madness, RS saga, coach decisions and team morale... Sijakata tamaa

kama ulivyosema, if united akipigwa leo, na akaguswa next match kila kitu kitafunguka upya kabisa
 
Kweli Mkuu, yani hapa tuombe hii team yetu iwe ina collect pnts tu ktk game zilizobaki. Maana tunaweza shangaa City ama Utd akaharibu alafu eti nasisi tukaharibu kabisaaaa,yani sometimes huwa hatueleweki
 
Mkuu siku hizi naona hamna imani na timu yenu kabisa!
 
Rodgers: Jordon Ibe is ready to return

Author: Chris Shaw

Liverpool can welcome Jordon Ibe back into the squad for Monday's clash against Newcastle United, with Brendan Rodgers revealing the winger has looked 'absolutely sensational' in training.

The 19-year-old has not featured since the Europa League trip to Besiktas in February after suffering a knee injury as the Reds were eliminated from the competition on penalties.
But the exciting youngster has completed his rehabilitation programme, returned to the Melwood pitches with his teammates and could play a part when the Magpies visit Anfield.
The manager said at his pre-match press conference: "Jordon Ibe will come back in. I have got to say, he has looked absolutely sensational in training.
"He has been out for a while but he has been out on the field for a couple of weeks now, doing his preparation work and he has joined in training.
"He has looked absolutely outstanding - he has got real natural fitness. He'll come into the squad for Monday night. Some of the others that have been out are still out."
That group includes Adam Lallana. "I don't think he'll be ready for Monday," Rodgers explained of the England international. "We'll just see how that goes into next week."
Mario Balotelli, meanwhile, will be monitored for Monday's Barclays Premier League contest, having missed the fixtures with Arsenal and Blackburn Rovers.
The boss added: "We'll assess that over the next couple of days. He was injured [for] Arsenal so wasn't available. He's been ill since midweek and continues to be, so we'll see over the next 24 hours how that is."
 
8852__3131__547567935ap082_liverpool_tr_513X307.jpg
0141__8755__547567935ap080_liverpool_tr_513X307.jpg
 
Poleni sn Mkuu!

BR ndio kasababisha yote haya.

Binafis naweza sema BR as a manager naye pia anasatahili lawama, maana sometimes anatabia anarudia rudia sana makosa ujue. Yote kwa yote amejitahidi kwa sehemu fulani
 
Back
Top Bottom