rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Hivi ni kwa nini Liverpool na Manchester United huwa mnalazimisha wachezaji kuendelea kuchezea timu zenu? Kila wakati mchezaji akitingisha kiberiti kusaini mkataba wa kuendelea kuchezea timu zenu Wapenzi na Washabiki wanamjia juu kumzomea, vitisho vya vifo, kumwandama hadi nyumbani kwake nk. Sterling sasa hivi yupo katika wakati mgumu, Wana-Liverpool wanamsakama kila kona akitazayo sababu tu anajisikilizia kusaini mkataba.Huwezi kuona ARSENAL taifa kubwa tukimbembeleza mchezaji ki-hivi. Kina Henry, Petit, Anelka,Overmass, Edu, Fabregas, Adebayor, Nasri nk waliuzwa pindi walipotaka kuondoka, tofauti na Liverpool mlivyomfanyia Steven Gerrard Enzi zile halikadharika Manchester United walivyowafanyia Tevez,Heinze na Rooney. Huku kumbembeleza kuna maana gani kwa vilabu Vikongwe nasema tena vikongwe( angalia kamusi ya vikongwe/mkongwe/kikongwe) katika medani ya Soka England? Je hizi ni dalili za mvua au?
Btw hivi badala ya kutag watu unaweza kupost one article katika multi threads bila ya kuiandika zaidi ya mara 1?
Cc: DonDonald,Malafyale,Belo, Kitwala,RRONDO,Ntuzu,Everlenk,BAK,Wacha1,utafiti,Nzi
Btw hivi badala ya kutag watu unaweza kupost one article katika multi threads bila ya kuiandika zaidi ya mara 1?
Cc: DonDonald,Malafyale,Belo, Kitwala,RRONDO,Ntuzu,Everlenk,BAK,Wacha1,utafiti,Nzi