Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu siku hizi naona hamna imani na timu yenu kabisa!

sasa ndugu yangu timu ina kepteni anastamp tu watu, mkoba wa nguvu naye anastamp, kiberenge chetu nacho kutwa kiguu na njia magazetini kwamba kinataka talaka, vice kepten naye hajulikani ni ndege au popo, hapo bado hatujajua if there is a dressing room revolt au vipi

hata wagonjwa wetu wa akili (akina baloteli) sasa wanapata na homa kabisa

kimavi kimehamia kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…