Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpunga mtamu huo nashauri wavute hiyo hela!!
OMG!!!!!!!!
£21m for Borini & Assaid!!!!!!!
what a piece of BUSINESS for LFC!!!!
Bonge ya Faida kwa liverpool..
i'd be suprised kama hatutaland any marquee signing this summer.na CASH yooote tulionayo..
Damn!!!!!!!!!
kishauzwa as we SPEAK..
now bring in Remy for £8m..
Moreno for £20m
Lovren or whatever for £18m
and a Marquee signing..for £35-£44..
We dont need a GK..
we got Mignolet, Reina, Jones and Ward!!!!
Hahahahahahah!!!!
Aisee deal la Moreno na lovren wangelipeleka fasta make mpaka sasa hatujafanya cha maana upande wa beki sijui lfc fullback wanaionaje make haijakaa poa ile.
happy Dayss!!!
trash zooote zinauzwa sahiv..
Kizuri zaidi OWNER kasema anampa BR £ 100 Milion aimarishe team!Liverpool mwaka huu mabingwa
mimi nimejiuliza why hatuulizi bei ya Alexander Song?
yuko perfect na sisi....hata Wanyama....au hata Jerome Boateng...
OMG!!!!!!!!
£21m for Borini & Assaid!!!!!!!
what a piece of BUSINESS for LFC!!!!
Bonge ya Faida kwa liverpool..
i'd be suprised kama hatutaland any marquee signing this summer.na CASH yooote tulionayo..
Damn!!!!!!!!!
keshaambiwa... Tonny Kroos keshadistabilize middleHahahaha!!!
Xabi hawez kuachiwa hata kidogo pale madrid...
|Modric. Alonso. Kroos.|
too early to celebrate
we have to sell Glen, Lucas, Reina, Suso, na Agger/Skertel.. and Toure maybe heading to Turkeykishauzwa as we SPEAK..
now bring in Remy for £8m..
Moreno for £20m
Lovren or whatever for £18m
and a Marquee signing..for £35-£44..
We dont need a GK..
we got Mignolet, Reina, Jones and Ward!!!!
Hahahahahahah!!!!
keshaambiwa... Tonny Kroos keshadistabilize middle
nmeona hyo..BR kasema anahitaj more 5 players..LB, CB, AM and ST na GK (japokuwa sidhan kama tunahitaj GK now)
we have to sell Glen, Lucas, Reina, Suso, na Agger/Skertel.. and Toure maybe heading to Turkey
SUSO?????
Apparently GJ isnt going nowhere..he had contract extension b4 the WC..atakuwepo for atleast another ONE year!
Comments alizozitoa BR juzi baada ya game yetu na Brondby zinasuggest AGGER bado tunae msimu ujao..Na Comment za AGGER pia zinaonyesha bado yupo sana tu..na kwann AGGER auzwe??
LUCAS ndo nadhan anaweza akaondoka, lakini likely ni kwa mkopo!
Sebastian Coates ndo anaweza akauzwa sahiv..
kote nakubali ila badala ya AM nadhani we need DM
AM wapo akina Lallana, Allen, Coutinho, Sterling, Markovic Suso, Texeira, Ibe wanatosha... unless awe type ya Reus who brings something different au yule madevu wa Atletico who always bring something different
Mie bora Bony kuliko Benzema.Hata Benzema sio mbaya....na anauzwa pia...