Okhondima
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 1,249
- 1,102
i think ndicho anachohangaikia... mwaka jana walishindwa kubadili tactics na game kama ya chelsea, arsenal, man city au WBA kwasababu hapakua na alternatives
and this is what he is busy working on now
personally i think buying isco is a waste of money... we need a top class striker... we have enough midfield style ya ISco --- kwa sasa wapo akina coutinho, suso, sterling etc... labda tupate mtu type ya Gerrard (wa zamani) who is capable of shooting 40meters... Reus is better for that
Rojo is a winner and powerful can do a good job kama moreno anaringa
halafu hii ya Milner inaniboa sana... anajaza waingereza... wataharibu dressing room... na hao ndio watakaomfanya afukuzwe kwa majungu
Napenda sana kuona kiungo ama mshambuliaji anayepiga mashuti ya mbali hasa timu inapokuwa inasaka ushindi wa hali na mali.
hiki kitu nimekuwa nikikosa ktk timu yangu japokuwa Suarez alikuwa anajaribu jaribu msimu uliopita.
"Nlikuwepo":bolt:
