The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
REUS REJECTS DORTMUND OFFER
Marco Reus amekataa kuongeza makataba mwingine na klabu ya Borussia Dortmund ..chanzo cha habari ni gazeti la Ujerumani, Bild.
Bild wameripoti kua mazungumzo juu ya kuongeza mkataba kati mchezaji na klabu yalivunjika mwezi wa Tano, na kiungo huyo anaweza kuondoka BVB kwa ada ya paundi millioni 35 kuanzia mwaka 2015, as per release-clause.
Arsernal na Liverpool wakiongoza kumnyemelea mchezaji huyo .klabu zingine kubwa kama vileB.Munich, Macheza utd na Barcelona haziko mbali sana katika kumnyemelea mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25.
Vile vile kocha wa BVB Juergen Klopp anamatumaini klabu itaendelea kuhold wachezaji wake wawili wenye thamani ambao wanawindwa kwa udi na uvumba na klabu kubwa za ulaya.
Marco na Hummels wataendelea kuichezea BVB msimu ujao ninaweza kuwaakikishia kua hakuna dalili zozote kutoka kwa kila mmoja kwamba wanataka kuondoka Klopp aliiambia Bild.
Wakati huohuo, jumatatu, Dortmund wametangaza kua wanaangalia utaratibu wa kutaka kuuza 5% equity katika klabu yao ili kwamba waweze kujaribu kuklose financial gap na B. Munich.
Ushauri wangu kwa BR atumie mwanya huu katika kuongeza kasi na nguvu za kumsajili Marco Reus ..Maana inaonekana Liverpool ndio timu pekee yenye mahusiano mazuri na BvB kulinganisha na timu zingine zinazo muwania Reus.
YNWA
Reus hawezi kuja LFC,hii ni kati ya deals ambazo zinahtaji muujiza kufanyika.
