Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tuende kwa statistics wakuu!
Remy kamshinda nn Joe Campell?
Origi anamshinda nn Joe Campell?
Kwa maoni yangu pale wapya mashine ni Can na Markovic hawa 2 hawamfikii Campbell kwa lolote lile!
CC Janjaweed
CC Pazi
hebu tupe stats za Campbell

kumbuka hata korea walikua na strikers, it depends on which team you are ferrring to.. Remy had to break through Giroud and Benzema, Origi had to beat Lukaku in the WC

Anyway, naomba stats za campbell

Halafu kushindanisha markovic a winger and Campbell or Emre the holding midfield with a striker sums up everything

Good day
 
Campbell kaipelaka team yake robo fainali CL akiifunha Man U Old Trafford

Campbell kaipeleka Costarica robo fainali WC kwa uwezo wake wa kulinda mipira(Otherwise you have to tell me kuwa hakuwa na impact yyt ktk mafanikio ya team yake ya Taifa CR ktk WC hii)

Hizo 2 ni facts kaka ambazo si Remy wala Origi wameweza kuzifikia
 
hahahahaaaaaaaaaaaaaaaa..... hebu tumia muda kuwa unasoma kwenye mitandao au fifa 14 kuhusu players stats watakupa speed, transition, goal ratios, stamina, defense, tactics, etc.

usisahau hata Igor Biscan has a UCL medal with liverpool for 2005, and he wasnt the best midfield, au Vladmir smicer scored in the UCL 2005 two goals

naomba kwa heshima na taadhima ni rest my case kuhusu your analysis ya soccer players

check pia opta analysis sina good shule
 
Kabla hatujahitimisha chukua mifano hii 3 uone nina maana gani ninaposema Campbell ana potential zaidi ya hawa
(1)Wakati Thiery anakuja Arsenal toka Juventus kila mmoja alimshangaa Wenger lkn kocha aliona kuwa kijana huyu atakuwa mzuri akicheza games nyingi!Leo hii Thiery ni legend Arsenal na alikuja bila kasi yyt!

(2)Wakati kocha King Dagl anampa jezi kwa siku ya kwanza beki wetu Flano na Sunderland kila mtu alishangaa na Flano aliboronga sana ile mechi akatoa hadi bao kwa Gyan!Lkn sababu potential waa there leo hii Liverpool wakimpata Moreno basi GJ ni byebye hawezi shindana namba na Flano

(3)Daniel Stur as the case study:Wakati anakuja toka Chelsea alipokuwa anaoza bechi hakuwa anatisha kwa lolote lile lkn kucheza evry game kumepandisha kiwango chake na leo hii ndiyo tegemeo letu

Nilicho kiona kwa Campbell ni kuwa ana uwezo mkubwa mno na anahitaji games!Je unajua Milan AC wanamtaka hata wabadilishane na Baloteli?Milan's players recruiter hawana akili?
 
naomba kwa heshima yako kabisa nisiendelee kujadialiana na wewe kuhusu campbell... with all due respect to arses and how good campbell is; but i think you are being too subjective, na unapenda surprises

saying markovic is below campbell in your ranking/ranting sums up

all the best buddy
 
Mkuu will all due respect let close this chapter lkn umeninukuru vibaya!

Toka mwanzo nimesema ktk vifaa vyetu mwqka huu Markovic na Can wazuri mno!Campbell hawafikii hawa 2

Kuna tetesi zozote leo mpya hasa kuhusu Levezzi na Reus?
 
i apologize mkuu
 
Joe Campbell Arsenal hana future na angetusaidia sana Liverpool!Campbell ana uzoefu wa CL na ana kasi mno zaidi ya hawa akina Origi

Hebu mchungulie Origi youtube,anatia moyo! Lakini origi mwenyewe kasajiliwa na kutolewa kwa mkopo kwenda Lille tayari. Wazungu wanafanya biashara.
 
Mkuu will all due respect let close this chapter lkn umeninukuru vibaya!

Toka mwanzo nimesema ktk vifaa vyetu mwqka huu Markovic na Can wazuri mno!Campbell hawafikii hawa 2

Kuna tetesi zozote leo mpya hasa kuhusu Levezzi na Reus?

kuna sehemu kule juu nimeona umesema Campbell kaipeleka Olympiakos robo fainal ya UCl,mwaka gani? Kwa kuwa mjadala ushafungwa,tuyaache hayo! Khs Reus,sahau kabisa kama atakuja LFC,unajua kuna vitu mashabiki tunatamani vitokee unfortunately havipo kabisa kwenye mipango ya BR?
 
Baada ya kusoma na kusikia liverpool mnamtaka Marco Reus nikapata hasira sana. Hivi sheria inasemaje kuhusu kuharibu timu iliyotengenezwa kwa gharama? Kwa nini nasema hivyo?

BvB ni moja ya timu iliyoonja machungu haya, ikiwa kwenye pick ya mafanikio bayern wakaenda kufanya uaribifu pale, wakamchukua #Gotze na #Levy , sasa nyie na vilab vingine mmeanza shobo kwa Reus na Hummel...ona ilichokifanyiwa southampton! Lalana, Lambert, Lovrne, mpaka kocha wao Puchenitto(speling?) wamemchukua. Naapa mbuzi aning'ate Jay Rodriquz angekuwa c majeruhi wangeshamng'oa.
 
Mkuu mm naumia sana kuhusu Liverpool!BR aendeleze raha mwaka huu!Levezzi bado hakijaeleweka wala Reus?

Mkuu,una Coutinho,Lallana,Suso,Sterling...wote hao ni ACM,Reus pia ni ACM,wa nini? LFC kwa sasa tunahitaji top class LB,na Striker! Lavezzi ni wing-striker kama alivyo Sterling,Markovic,Ibe halafu ana miaka 29 tayari,i can't see BR sign him! Ni mtazamo wangu tu waungwana,
 
Baada ya kusoma na kusikia liverpool mnamtaka Marco Reus nikapata hasira sana. Hivi sheria inasemaje kuhusu kuharibu timu iliyotengenezwa kwa gharama? Kwa nini nasema hivyo?

BvB ni moja ya timu iliyoonja machungu haya, ikiwa kwenye pick ya mafanikio bayern wakaenda kufanya uaribifu pale, wakamchukua #Gotze na #Levy , sasa nyie na vilab vingine mmeanza shobo kwa Reus na Hummel...ona ilichokifanyiwa southampton! Lalana, Lambert, Lovrne, mpaka kocha wao Puchenitto(speling?) wamemchukua. Naapa mbuzi aning'ate Jay Rodriquz angekuwa c majeruhi wangeshamng'oa.

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Mkuu,una Coutinho,Lallana,Suso,Sterling...wote hao ni ACM,Reus pia ni ACM,wa nini? LFC kwa sasa tunahitaji top class LB,na Striker! Lavezzi ni wing-striker kama alivyo Sterling,Markovic,Ibe halafu ana miaka 29 tayari,i can't see BR sign him! Ni mtazamo wangu tu waungwana,

Alexandre Pato with only 24 yrs old!Namsoma Levezzi hapa ni mzee huyu hatufai
 
majirani salama?
ilikuwaje AS Roma?

cc.Mosdef, Magnificent, etc..:A S-eek:
 
Back
Top Bottom