Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Game Boring tunatakiwa kufanya zaidi ya HT kushinda game Raheem,Coutinho na Sturidge kimya Hendo arudishwe kati sioni anachofanya Lucas.
 
4-2-3-1..Is a shitty formation, playing Coutinho wide doesnt make sense..wanyama bossing Lucas in the midfield, Sturridge been isolated upfront..kwanini uendelee na hyo formation??..

Siku za presha zisharudi tayari..match nyepes lakin BR anaifanya kuwa ngumu.
 
Wachawi wanachungulia kiaina wanasubiri Southampton wasawazishe au washinde game ndio waje tehtehteh! We Go Again LFC YNWA!
 
Wachawi wanachungulia kiaina wanasubiri Southampton wasawazishe au washinde game ndio waje tehtehteh! We Go Again LFC YNWA!

Watachungulia sana...tunashinda hii game!
Next tuna mbuyu wa kuuangusha so hii game ndo "busta" yetu.
YNWA.
 
mpaka sasa hatujaonyesha ni timu ya Kuwa Top 4 lazima Raheem,Coutinho na Sturidge waanze kusumbuwa lasivyo hawa kila wakitufikia Middle yenyewe Lucas anawaita na anakimbia mtu kumpa nafasi apige shuti tutaumia.
 
Ila tunapaswa kukaza zaidi 2nd half naona kama sou waligain dakika za mwisho za 1st half
 
Huyu Refa hampendi Sturidge Kama ndio Webb anavyowafundisha sawa.
 
Back
Top Bottom