Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa matokeo mazuri ya last weekend
Unachotaka kukataa ni kitu gani hapa? Au kwasababu hujamkoti au kumtaja?
Mzima lkn mkuu? Mambo ndo yameanza na safari hii nakupiga game zote!
Naona vigogo wa top 4 wote tumeshinda...wenzetu wa 7up na LvG wao wameangukia pua kwa Swansea!
Yaah tumeshinda mkuu! Ngoja tuone weekend ijayo km kutakua na mabadiriko ktk top four!Naona vigogo wa top 4 wote tumeshinda...wenzetu wa 7up na LvG wao wameangukia pua kwa Swansea!
Mkuu mi nipo always, nilikua mapumzikoni kidogo nikisubiri ligi ianze nirudi kambini!Aisee! We jamaa ulipotea sana huku kwenye jukwaa la wanaume....nadhani uliegemea kule MMU kubishana na watoto wa mama pamoja na mademu!
Swansea wanapiga pasi hao,hatari tupu! Usithubutu kukutwa!
mko kimya sana waungwana
Kwa upande wangu niko kimya ila nafuatilia every post inayoingia hapa kwa liverpool threat......vilevile bado nawaza ni striker yupi atakaye jiunga na sisi kabla ya dirisha la usajili kufungwa......man city sina wasiwasi nao.....maana naamini BR atamuanzisha allen au emre can badala ya lucas. Na tutawafunga tu.
Falcao is the least likely player to join Liverpool
Falcao katoka kwenye maumivu so hadi achanganye ligi isha anza kuisha!Hapa tunamhitaji zaidi Cavan
Hicho kikosi kimesimama ila kama umecheki mechi zilizopita against man city Allen alinga'ara sana kwa upande wangu angeanza kwa kweli
Hicho kikosi kimesimama ila kama umecheki mechi zilizopita against man city Allen alinga'ara sana kwa upande wangu angeanza kwa kweli