Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Falcao ni jembe hasa akisimama na D15, lkn kuna mtu km Klass Jain Huntelar nae ni noma.
Baloteli ni bishoo huwa anamzaha saana.
 
Falcao is the really deal..we can aford his wages suarez was on 200k..if we get him it will be a season to remember
 
Falcao is the really deal..we can aford his wages suarez was on 200k..if we get him it will be a season to remember

FSG cant pay 200k per week kwa mchezaji mwenye miaka 29, tena kwa msimu mmoja tu..manake siyo FSG policy kumnunua mchezaji wa miaka 30 kwa £35m loan spell yake ikishaisha..

kwanza huyo Falcao, aking'aa msimu mmoja tu, madrid wakija anaondoka bila hata kujiuliza, manake sahiv tu anaforce move ya RMA, we Liverpool kakuweka kama Option tu, kama deal lake na RMA likifall through, manake Perez anasubiri kumuuza Di maria ndo amchukue Falcao..Na ndo anachosubiria huyo Falcao..na ndo maana ulivyoenda mara ya kwanza kufanya enquiry ukaambiwa anaenda sehem nyingine..asa mchezaji kama huyo ni wa nini kama anakuchukulia wewe kama option???

Transfer window, inabadilika ndani ya mda mfupi sana, so lets wait and see, habari za leo zitakuwaje.
 
Falcao and Cavani won't join, forget about them, Falcao is to expensive for a season loan deal, and demands 200k a week, which Liverpool won't pay, plus he has a knee problem, Cavani always wanted Suarez out of Liverpool for a "bigger club" why would he join us, plus PSG will probably want atleast 40mil for him, and he isn't woth that much for sure, and his wage demands are like 250k a week, which is mad.

Ballo is young and if dealt with in the right way, can be one of the best in the world, he really is the best option we have.

Balo is not the best option... labda kwako

we'd rather have Etoo au Munir (Barca) kuliko Balo
 
FSG cant pay 200k per week kwa mchezaji mwenye miaka 29, tena kwa msimu mmoja tu..manake siyo FSG policy kumnunua mchezaji wa miaka 30 kwa £35m loan spell yake ikishaisha..

kwanza huyo Falcao, aking'aa msimu mmoja tu, madrid wakija anaondoka bila hata kujiuliza, manake sahiv tu anaforce move ya RMA, we Liverpool kakuweka kama Option tu, kama deal lake na RMA likifall through, manake Perez anasubiri kumuuza Di maria ndo amchukue Falcao..Na ndo anachosubiria huyo Falcao..na ndo maana ulivyoenda mara ya kwanza kufanya enquiry ukaambiwa anaenda sehem nyingine..asa mchezaji kama huyo ni wa nini kama anakuchukulia wewe kama option???

Transfer window, inabadilika ndani ya mda mfupi sana, so lets wait and see, habari za leo zitakuwaje.

we only need Falcao for one year, baada ya hapo hatahitajika

A loan deal is ideal
 
we only need Falcao for one year, baada ya hapo hatahitajika

A loan deal is ideal

then Falcao akishaondoka nan ataingia???..Origi???

Au umchukue Falcao kwa mkopo, then loan spell yake ikiisha utegemee kumpata Reus???

Sipingi ujio wa Falcao LFC, ntafurahi sana kama akija..BUT anatakiwa apunguze kwa kiasi kikubwa sana wage demands zake..Cant see FSG paying him 200k per week..

We si uliona janja waliyoitumia FSG kwa Suarez??..aliposign mkataba mpya Last year, ulikuwa na thaman ya 200k per week, lakin we all know suarez mpaka anaondoka alikuwa analipwa 160k, ilikuwa msimu huu ndo aanze kulipwa 200k..my take here, FSG knew damn well kuwa Jamaa ataondoka tu, na kama ilivyokuwa revealed kuwa Barca contacted LFC November last year kuhusu Suarez..

ndo maana, Cavani angekuwa available nadhan LFC wangemPick yeye over Falcao..coz wage demands zake ni 180k hadi 150k per week..

Sioni FSG wakilipa mtu 200k per week..unless waamue kumake a HUGE STATEMENT..
 
Balo is not the best option... labda kwako

we'd rather have Etoo au Munir (Barca) kuliko Balo

Bado naendelea kusisitiza jamani......Falcao ni mchezaji mzuri ata mimi ningependa aichezee LFC.....But Falcao is very expensive jamani......kwa deal la mkopo wakuu tutoe 10K na tumlipe 200K kwa week???? too expensive!!!!! FSG can not afford that...!!!! BTW Falcao binafsi anapenda kwenda Madrid.

Ballo is still the best option for FSG and Liverpool in general..... is cheap, young and very tallented player.

Kitabia Ballo anarekebishika kabisa.........Kwangu mimi Ballo is my Choice!
 
Wakuu naona kama Falcao ana kila dalili za kutua Anfield tuombee hii deal iende sawa maana option ya balotel siikubali kabisa anajua ila atatuchosha bora tumngoje Origi
 
Wakuu naona kama Falcao ana kila dalili za kutua Anfield tuombee hii deal iende sawa maana option ya balotel siikubali kabisa anajua ila atatuchosha bora tumngoje Origi

Hatumuhitaji Falcao na hawezi kwenda na mbio za akina Markovic na Lallana!Hapo tunahitaji kijana mpiga mwendao kama Reus!Ni bora tubakli na 4-3-3 yetu wa bila striker hadi January tuanze kutafuta mtu mapema!

Cavan,Falcao na Lavezzi wakija RMA au Barca wala hawaagi,wachezaji wa America ya kusini hawana maana hata kidogo hata uwape wewe jina watakudharau tu baadae!Nani kasahau kuondoka kwa ujeuri LFC kwa Mascherano tuliyemuokota huko Westham hana kitu?

Aheri tumsubiri Origi mwakani!No Baloteli either
 
Aisee mi mwenyewe napenda kumwona Reus liver ila naona wamekaa kimya pia kuna siku niliuliza kwa nn tunakuwa wazito kumfuatilia? pia kuhusu balotelli bora tubaki hivyo hivyo namwona kama mzigo aisee
 
Hatumuhitaji Falcao na hawezi kwenda na mbio za akina Markovic na Lallana!Hapo tunahitaji kijana mpiga mwendao kama Reus!Ni bora tubakli na 4-3-3 yetu wa bila striker hadi January tuanze kutafuta mtu mapema!

Cavan,Falcao na Lavezzi wakutuma RMA au Barca wala hawaagi,wachezaji wa America ya kusini hawana maana hata kidogo hata uwape wewe jina watakudharau tu baadae!Nani kasahau kuondoka kwa ujeuri LFC kwa Mascherano tuliyemuokota huko Westham hana kitua Liverpool

Aheri tumsubiri Origi mwakani!No Baloteli either
99.9% kwa £16m kwa Baloteli kutua
 
Mario Balotelli appears to have confirmed his exit from AC Milan.

Sky Italia are quoting the striker as saying: "Today will be my last day in Milanello."

It is beginning to look like this transfer will be done and dusted quite quickly.

Karibu Anfield.

YNWA
 
Nakumbuka Mzee Fegie aliwahi kusema hawezi kusajili mchezaji kutoka South America maana wachezaji wa huko hawana akili.
Hii ilikuja baada ya ishu ya Tevez.
Sasa kama Falcao mwenyewe anasema anataka kucheza RM sisi wa kazi gani sasa??????
Baloteli ni mzuri sana tatizo ni kwamba hana speed.
 
Mario Balotelli appears to have confirmed his exit from AC Milan.

Sky Italia are quoting the striker as saying: "Today will be my last day in Milanello."

It is beginning to look like this transfer will be done and dusted quite quickly.

Karibu Anfield.

YNWA

Tukiachana na tabia zake zingine for real balo is talented nice move pia
 
Yaa kafika!
Sio striker mbaya lkn ana utoto sana!Anajua kufunga na ana nguvu lkn pale unapo mtegemea akuinue ndiyo anakuzamisha mapema kwa kadi nyekundu

Mkuu kwa msimu huu tulishuhudia Suarez kadi nyekundu alikosa naiamini sana timu ya psychology pale LFC naamini atabadilika tu
 
Back
Top Bottom