Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

ngumbuke ni bao la 3 katupia beki hatari sana Moreno!

Kama Sakho na Lovren wangeanza na Man City na kama Baloteli angepata kibali nina uhakika tungepata point(s)pale Etihad
 
Last edited by a moderator:
ngumbuke ni bao la 3 katupia beki hatari sana Moreno!

Kama Sakho na Lovren wangeanza na Man City na kama Baloteli angepata kibali nina uhakika tungepata point(s)pale Etihad

Yaani nimefurahi sana kuwaona Manquillo na Moreno wakianza kwa pamoja...!
 
Last edited by a moderator:
Naweza kuamini maneno yako Malafyale, kwani nafikiri depth ya Tot ni kama vile ilivyo ya Manshit! pia hata manager wao ni mzuri ukiitafakari The saints ilivyokuwa mwaka jana!!
God is with us we've worn the match!!
 
Jamani all Liverpool's YNWA mwaka huu tuna team!Hii team nzuri sana na tena beki zetu iwe hii hii Skrtel akipona akae nyani kwanza!

GJ hata apone hamna kucheza,Flano atacheza FA cup!Hawa vijana pembeni wazuri mno jamani
 
Back
Top Bottom