Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.....he!he!eeeeeehhh! kumbe hawa wameanza kuchapwa tena........!
u will never walk alone,sasa mbona unatembea alone lol :becky::becky::confused2:aisee ntafunga hii thread... ohoooo nyi endeleeni tu kunichokoza:mad2:
toka walivyomuuza xabi alonso timu ikapoteza mwelekeo,hakika kwa sasa timu ukikosa viungo wa spain eg alonso,xavi,iniesta,busquets,fabregas,senna,silva na arteta basi ni kama umeumia,ndio viungo bora na wanaofanya spain itambe ktk soka kwa sasa wakifuatiwa na uholanzi nayo kwa kuwa na viungo bora eg van bommel,sneidjer,de jong,cocu nk.
haya ngoja niende dasarani,timu bora sasa hivi ni barcelona,mourinho aliomba mpira uishe siku zile japo waliwatoa ktk mechi ya marudiano nou camp.Mkuu jifunze kuandika! Anza na herufi kubwa kwenye majina ya watu miji na nchi. Zingatia kuweka vituo ili ulichoandika kisomeke. Unaandika kama uko darasa la ngumbaru. Kwa point yako hapo pamoja na kusoma kwa shida timu lazima iwe na vioungo wa Spain ama uholanzi ili iwe nzuri? Chelsea mabingwa wa England hakuna kioungo wa Spain ama Uholanzi. Machester Utd hana pia. Hizo ni timu kubwa UK na duniani pia. Wrong analysis again.
haya ngoja niende dasarani,timu bora sasa hivi ni barcelona,mourinho aliomba mpira uishe siku zile japo waliwatoa ktk mechi ya marudiano nou camp.
na hata kisoka wapo juu spain sasa hivi,waliweka rekodi kutopoteza mechi 35 mfululizo,na wamepita kuingia world cup 2010 kwa kushinda mechi zote ktk kundi lao nyumbani na ugenini,sema wengi walizoea kuangalia majina eg brazil,ujerumani,argentina na italy,liverpool ukiangalia vizuri tokea Alonso atoke ndio ikawa matatizoLabda alimaanisha mpira wa kuvutia wenye pasi na mbwembwe za kimpira
Wewe ni mtupu kabisa! Mkuu ukoje na suala zima la ufahamu?
timu bora chelsea,kama unakataa sio barcelona,ndio matatizo ya kuweka ushabiki mbele kuliko ukweli
:becky::becky::becky::becky::becky:Sema tena kwa sauti! LOl
timu bora chelsea,kama unakataa sio barcelona,ndio matatizo ya kuweka ushabiki mbele kuliko ukweli
muambie mfurukutwa huyo wa chelsea,kafungwa home and away ktk champions league,na chelsea nzuri ni kocha tu,mourinho,hiddink na ancellotti ni makocha wazuri.Timu bora kwa sasa ni Inter Milan, imetoa goalkeeper bora- Julio Cesar, beki bora Dauglas Maicon, kiungo bora Wes Sneyder na mshambuliaji bora ambaye pia ndiye mchezaji bora wa UCL, Diego Milito.