Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu, one of BR's tough opponent in Paul Lambert, unless hufuatilii stats, just google uone head to head records
EPL haina timu ina tactics.. ndio maana stoke walimla kichwa citeh na lambert ameshatula tatu na ku-droo mbili-mbili anfield last season
tuache ushabiki, tuwe makini
Nipo natizama uozo hapa Leo game LFC utafikiri yupo voronin na Kinchesky uwanjani utumbo tu sitizami tena game ya LfC kwenye TV wala kusikiliza nitatizama matokeo Rogers thanx kwa kumuondoa Reina Huyu Mignolet na Sakho sina Hamu nao Leo utumbo tu kila siku tutaimba tungefunga Villa tungekuwa mbali mara ya 3 sasa jamiiforum naichukia Leave mpaka Rogers akiondoka..... Pazi, upo?
Leo timu hakuna kinachofanyika Ballotelli Leo hakuna kitu ila ni Middle ndio tatizo wamecheza Middle wote ila wanajichanganya sijaona hata mpira kugonga mwamba Leo au kipa wa villa ku make good save boring :angry::angry: Ngoja sasa tuje kuaibishwa na timu ya Bulgaria tukifungwa lazima tupende hakuna nilichokiona Leo cha kusifia hata kimoja labda kuingia kwa Raheem tu.
Tusiikimbie team sababu imecheza hovyo jamani