Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

ByijpOUIAAAsMOA.jpg
 
Naona mabadiliko makubwa Liverpool yetu!Tuna hama toka nyuma kwenda mbele vyema

.....,tactical approach ya Everton tu hiyo, wanajua majuzi mlicheza 120mins, acha wawachoshe 1st 45mins...,,

Kipindi cha pili jiandaeni na counter attacks za kufa mtu!
 
Suso needs some minutes and Balo needs to move with the team sio awe anasimama simama na kwenda kama magari ya takataka
 
Mimi nipo hapahapa,sema huwa nakoncentrate sana wkt wa mechi,siwezi kuwa hapa na kuangalia game simultaneously

....,.naaaaam! Sawa sawa,.... Pazi yeye ndio "hazitaku mbichi hizi tena!"
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom