Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
We unadhani hata home utafika? Unafia hukohuko kwenye vibanda umiza
Ya leo nilikuwa home, sikutaka stress sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unadhani hata home utafika? Unafia hukohuko kwenye vibanda umiza
Ya leo nilikuwa home, sikutaka stress sana
Ukiangalia msimamo wa ligi mpk Jana, Man Utd wako nafasi ya 8 na Liverpool iko nafasi ya 12.
Yani Man Utd atarudi ktk nafasi Yake ya kushiriki CL na nyie Ndio mmeanza kukaa ktk nafasi zenu km kawaida yenu!
After just 6 games???
so kwa mtazamo huo, bas southampton na swansea will finish katika top four!!
Manure kanpta point 1 tu, Arsenal point 3..it means next week Manchester akidraw au akifungwa na Everton na Arsenal akifungwa na Chelsea (which is more than likely) na mm nikishinda hata goal 1 tu, ntapanda mpaka nafas ya 5!!! ( kama swansea akifungwa tena, ntaenda mpaka nafas ya 4)
Afu na wewe kuongoza league katika game 6 tu za mwanzo kusikupe kiburi sana aisee! Game 3 zijazo za manure ni dhidi ya everton (home), then WBA na Chelsea (away)..kwahyo kwa mtazamo huo unadhan manure watapata nafas ya kuwa juu yangu??
Bora ungembia Spurs au Everton, syo Manure Aisee!
Alafu punguza maneno ya kishabiki kwenye UKWELI!
Kinachonifanya niseme hivi ni kwamba, najaribu kuangalia kiwango cha timu yako na uchezaji kwa Msimu uliopita na Msimu Huu ni tofauti kabisa! Msimu uliopita mlikua mnacheza kwa kiwango kinachopanda kila game na kuonyesha ushindani mkubwa! Lkn Msimu Huu mnacheza huku kiwango kinashuka chini na kukosa ushindani! Kitu ambacho ni tofauti na Man Utd ambao wao Wana Kipindi cha mpito na wanajaribu kurudi ktk Hali Yao!
Sijui umeelewa mkuu?
My first 7 games za last season nilikuwa nimekusanya point ngap??
LFC imepotea kwa sababu since game ya Spurs, Sturridge na Allen wote waliumia, PC hakuwa kwenye kiwango chake, Lallana alikuwa anatafuta his Form..Nadhan umeona jana lallana na PC wote walikuwa vizuri!
Kinachomsumbua BR ni kwamba He needs to opt mfumo wa 4-4-2 (diamond formation) na kujaribu 4-2-3-1 ambao hatuuwez kabisa, angeweza kucheza 4-3-3 kama Lucas angekuwa kwenye Form au Can angekuwa ameshachanganya (both Can and Marcovic are still adapting) coz 4-3-3 huwa inamuExpose sana SG (so hawez kuthubutu kujaribu hicho kitu)
With Sturridge back next week, Allen naye kurud and Lallana kurud kwenye form yake..Anza kutegemea only 4-4-2 kuanzia next week ( rejea game ya Spurs)..WBA tulitoka nao draw last season coz we played with only suarez upfront kipind kile ( danny was out injured)
Diamond formation inarudi, tukipotea na hapo ndo uje upige makelele humu!
Afu Ntuzu bhana, we last season, mpaka sahv ulikuwa umekusanya points ngap katka game 6???
Nakumbuka kipind kama hiki, Arsenal ndo walikuwa wanaRun them things!
Mnasahau mapema sana! Na wala hatukuwaambia kwamba mna msimu m-bovu!
GD ya CHELSEA FC ndo inatisha zaidi; hadi sasa ni 12..
kuhusu LFC kupata form yenu nadhani muwe na subira kidogo..kwanza kocha anahitaji kikosi cha kwanza..
pili wachezaji anaowapanga kwenye kikosi cha kwanza bado wageni na EPL ..angalau huyu kijana Moreno nadhani hana shida sana na mpira wa Uingereza.
lakini huyu beki # 19, pamoja na huyu mchezaji wenu # 50..itachukua muda kidogo..any way siyo mbaya sana..mko kwenye process ya kujenga..
ngoja sisi tuendelee kung'ang'ania pale juu.:coffee:
Ntuzu team yangu ni team nzuri na tumeanza kurudi kwenye kiwango chetu!Mechi na Tofees tukecheza vyema na goli la Jagielka lilikuwa "halizuiliki"!
Mm nimecheza na teams 4 bora hadi sasa(Everton;Tots;Man City na Sotton)lkn Man U hajacheza na yyt bora!
Team ambayo inabdi ipoteze ni Chelsea na itapoteza tu maana hapa kuna taarifa Foward yenu hafanyi mazoezi kuogopa kutoneshwa goti
Aiseee rafiki yangu Malafyale bora ushabikie Mbeya City timu ya huko kwenu mkuu kulikoni Kua shabiki wa Liverpool maana ni presha tu! Hahahaaaa nakutania rafiki yangu!
Mtasema sn mkuu, nafahamu Costa anakuumizeni sn akili!
Chelsea Fc Strikers
#COSTA
#REMY
#DROGBA
Na wachezaji wengine wanafunga sn kasolo kipa!
Kz mnayo sn Msimu Huu!
Drogba akifunga bao 3 EPL hii nidai kreti ya pombe yyt inayotengenezwa hapa Tanzania!
Remy sana sana atatupia bao 8 ligi nzima ambazo leo ndiyo Costa anayo!!
Bila Costa hamna Chelsea=fact
Bila SUAREZ hakuna LFC????:wacko:
Drogba akifunga bao 3 EPL hii nidai kreti ya pombe yyt inayotengenezwa hapa Tanzania!
Remy sana sana atatupia bao 8 ligi nzima ambazo leo ndiyo Costa anayo!!
Bila Costa hamna Chelsea=fact
I got the feelings, wakati Sakho anasajiliwa, alijijengea kujiamini kwamba Liverpool ilimchukua ili kuchukua nafasi ya Dagger ambaye alikuwa akisumbuliwa na majeruhi ya kila mara probably plus accusations za hivi karibu kwamba BR was not impressed by him.
Whether ni kijiaminisha au kuaminishwa kuhusu kurithi mikoba ya Dagger, huyu dogo should watch out his childish behaviour.
He is LCB and that means upande wa Skrtel na Kolo haumuhusu, and as long as Lovren is fit then, haweza kuchukua namba yake unless Lovr drop his form dramatically which no Liverpool fan would like to see. Kwa maneno mengine Sakho is third choice cb
Liverpool kwa mwaka huu inategemea kucheza mechi nyingi ukilinganisha na mwaka jana and that means squad depth ni muhimu. Each one should be ready at any time when need and I think any professional player should no about this
Anyway apology accepted