Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Sakho kaumia au bado matatizo yake na BR hayajawa solved?Huyu Lovren has to be benched anatuumiza sana kwa kweli!!
Hendo aanzie nje na Hull City wanaokimbiza sana?This is more than a joke kama kweli
Sakho alitweet kabla ya game na madrid kwamba, atakuwa out tena kwa siku 10 nyingine..so bado hajawa fit!
Me ninachoombea tu, Asianze Lambert!!!!
Hii ni EPL mkuu, but at least leo mmepata cleansheetBR toka afukuzwe Reading alisema timu yyt anayokwenda HAWEZI kufanya kazi tena na DIRECTOR of football na any departmental head coach!Nafasi hizo zilimsumbua sana alipokuwa Reading!
BR anataka madaraka yote yawe juu yake tu na hapo kathibitisha haya!
Worry not next features na Hull City then na Newcastle tunawafunga easily na tutaanza kumpenda tena BR
CC MosDef
Hii ni EPL mkuu, but at least leo mmepata cleansheet
Hiyo beki inayoongozwa na Terry Ndio haijafungwa magoli mengi km ya LFC
Yani hii timu majanga sn.......!!!
Safari hii ata top four hamuioni....!!
Oya,mbona unapenda kutufata fata sana? Kama hatuioni hiyo Top4,so what?? We unataka sisi tufanyeje sasa kama timu yetu majanga? Idiot
FSG should get rid of BR haraka sana!
Naona anaanza kuturudisha kule kule tulikotoka!!
Of all the players tulionao kwenye team, unamwingiza Lambert akakubadilishie matokeo!!
We'r shit jamani, totally shit!
Nyie kila mwaka mutakua munajadili makocha tu, wakati wenzenu tunajadili ubingwa. Asikuongopee mtu Liver pool hamuna wachezaji wanaoitajika ktk ushindani. Mwenye tim (Gerard) keshamaliza mpira wake nani tena pale? Staling au Balloteli? Mtabalidi makocha kila siku lakini mchawi wenu ni pessa.FSG should get rid of BR haraka sana!
Naona anaanza kuturudisha kule kule tulikotoka!!
Of all the players tulionao kwenye team, unamwingiza Lambert akakubadilishie matokeo!!
We'r shit jamani, totally shit!
ndo hivyo top four hamuingii..mliongea sana msimu uliopita