Mzee Wa Rubisi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,757
- 442
Hapa nimekuwa mzigo sana kuchangia, Kuna kitu kinanipa shida kuchangia sana,tupo mashabiki tunatamani Jaja,okwi wafunge kila mechi,kumbe sivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Before I buy what you are trying to sell me above (in red), je unaweza kunielemisha kidogo ni kwa nini wachezaji wafuatao (kwa uchache) hawakuja Anfield japo walikuwa kwenye radar za BR?
With hard facts, no speculative sentiments please...
Falcao
Di Maria
Cavani
Diego Costa

Those mentioned players were never real targets for BR season hii,last season alijaribu kwa Costa akashndwa.
Mkuu Tisha-TOTO (now unaona jinsi Di maria na Sanchez wanavyozisaidia team zao) na kwa falsafa ya BR ya kushambulia tungekuwa na wachezaj kama hawa tungekuwa mbali sana!!!
Hapa unaweza sema Ndio lakini Hapana hakuna msaada wa maana kulinganisha na thamani yao.wamezisaidia timu zao kupata suluu

LFC ilikuwa inahitaji Mchezaj mmoja tu wa kufanana kiuchezaji na Suarez ili kubakiza ile pace ya LFC...Di mari na Sanchez kati ya hao, Mmoja wapo angetubeba sana!!!..
LFC ilikuwa inahitaji Mchezaj mmoja tu wa kufanana kiuchezaji na Suarez ili kubakiza ile pace ya LFC...Di mari na Sanchez kati ya hao, Mmoja wapo angetubeba sana!!!..
Kweli lakini biashara ya Sanchez Liverpool walikataa biashara ya kurusha shilingi Kati ya Arsenal na Liverpool
Kweli lakini biashara ya Sanchez Liverpool walikataa biashara ya kurusha shilingi Kati ya Arsenal na Liverpool
Nah!!! I can assure you kuwa LFC walishindwana Na Sanchez katika Wages!!!
Kweli lakini biashara ya Sanchez Liverpool walikataa biashara ya kurusha shilingi Kati ya Arsenal na Liverpool
Na KUBWA kuliko LOTE ni kwamba BR alikuwa anamtaka PEDRO tangu awali na Siyo Sanchez..But Enrique aligoma kumuachia PEDRO..so kwa Sanchez suala la Wages lilipokuja on board BR akaone aachane naye coz ukiangalia tangu mwanzo Sanchez hakuwa kwenye Radar za BR...BR wanted PEDRO/DI MARIA kabla ya WC....
AGUERO on LFC...
He's a Kopite...
Mkuu Tisha-TOTO kwanza najua kabisa kuwa hakuna shabiki wa LFC ambaye ni PLASTIC, majanga, usaliti, migogoro, ukame wa trophies etc, ambavyo club yetu imepitia imetufanya tuwe STRONG sana, hii imetujenga tuipende team yetu kivyovyote vile!!!
FSG wakati wanaichukua LFC, 2010, Team ilikuwa hovyo sana, Wakakaa wakafikiria ni manager gani wa kuirudisha LFC kwenye raman, majina kibao yakawekwa mezani ikiwemo Pellegrin, Benitez, Daglish etc, mwisho wa siku wakaamua wampe team Legend wa LFC, King Kenny, ambaye akaja na philosophy yake ya kujaza waingereza kwenye team, system ile ilifail sana, FSG wakagundua kuwa walikosea (licha ya kutoa 100+mill ya usajili)..waka-mtimua Kenny, baadae kwa kuwa team ilikuwa katika hali mbaya zaid, wakaona waanze mwanzo kabisa, waitengeze team kutoka chini, ndo idea ya kutafuta manager kijana ikaja, (majina ya kina BR, Martinez, Klopp etc yalitajwa sana)...lakin BR akaajiriwa mwisho wa siku, Msimu wa kwanza ulikuwa syo mzuri kwa BR coz, FSG hawaku-msupport kama walivyom-support Daglish, Lakin baada ya LFC kuingia UCL, FSG had no excuse, we witnessed HELA nyingi waliyotoa ili kutanua Kikosi cha team!!
Me siwez kusema kuwa Usajili wa BR wa mwaka huu, ulikuwa ni m-bovu..NO!..lakin as a Manager unapoondokewa na Your World class player unafanyaje kuziba PENGO lake...Danny Sturridge angekuwa Injury free kama Suarez, MB au Remy wangetosha, Lakin Danny ni Injury prone na Msimu huu tayar ameshatucost kwa majeruhi yake...As a Manager ulitakiwa ulijue hilo Mapema, but BR hakutaka kuamini hilo...
Kuna kitu wapenzi wa mpira huwa tunashindwa kutofautisha...BR siyo kocha wa LFC, ni MANAGER wa LFC, makocha wa LFC ni kina Poscoe, Marsh etc, JM, LVG, Pellegrin, Wenger,POCH, etc...Hawa ni MANAGERS siyo Coaches...wana Maamuzi ya mwisho katika affairs za wachezaji...ndo Maana lawama za usajili zote zinaenda kwa MANAGER BR siyo kwa FSG...Policy ya Mishahara ya Arsenal inajulikana, lakin they managed kumsajili Sanchez na Ozil (World class players)..wakati sisi LFC huwa tunapigiwa propaganda (LiverpoolEcho huwa linatumika) kuwa Mchezaj kachagua London, mara mchezaj kachagua UCL etc)..
Unakumbuka BR alisema *we want to sign the right players for the club* yaan hatak majina makubwa, anataka awatengeneze yeye, hilo suala *role model* (joke)..wenger lilimshinda, Lakin BR ndo anataka kulifanya sahiv ambapo mpira umekuwa ni PESA...BR alishasema kuwa hataki mchezaji ambaye anawaza pesa kwanza (nakumbuka alikuwa anampiga dongo MK)..lakin kwa mpira wa Sahiv HELA ndo kila kitu...Umekubali kumpa Danny 150k per week, ulishindwa nn kukubali 140k alyokuwa anaidemand Sanchez???..Wachezaj ambao amewasajili BR siyo wabovu but walikuwa wanahitaji a World class attacker, kuwamotivate...
Ngoja nikwambie ishu ya Di maria, kuna siku Tony Barret aliizungumzia kiundan sana, kuwa kabla ya WC kuanza tulimfata Di maria, but he turned us down, coz alijua Madrid watampa mkataba mpiya, so hakutaka kabisa kufkria kuondoka RMA, lakin after WC, Perez akawa anamtaka Rodriguez, demand ya mshahara ya Ridgriguez ilikuwa ya kawaida kuliko aliyokuwa anaitaka Di maria, (remember walikuwa wanakarbia kumchukua Tony kroos kwa £24m, lakin Tony kroos alikuwa kademand mshahara mkubwa)..so Perez akaona there's no need ya kubak na Di maria, na Di maria akagoma kubaki RMA kama mshahara hautaongezwa, PSG came in, Di maria hakutaka kwenda kwenda PSG, hapo Tony Barret anasema representative wa Di maria waka-mpigia simu direct BR kuwa Di maria anataka kufungua Mazungumzo na LFC kuhusu a possible Move, BR akawapiga CHINI (kisa tu, Di maria alikataa kata kata kuongea na LFC kabla ya WC)..Akarud kwa PSG, ambao walijaribh but FFP ikawaarbia, na Perez alikuwa anataka Cash syo loan..LVG akaamua atumie hiyo nafas, na Di maria was like yeah, Ni Manchester Utd na ni LVG na walikuwa ready kukubali terms zake, akaenda zake Manchester (now unaona jinsi Di maria na Sanchez wanavyozisaidia team zao) na kwa falsafa ya BR ya kushambulia tungekuwa na wachezaj kama hawa tungekuwa mbali sana!!!
FSG siyo wa kuwalaum sahv, Danny anapewa 150k per week (na siyo World class ST)..RS wanataka kumpa 100k lakin kama unafatilia interview za BR hatak RS apewe 100k coz anasema kwa umri wake ni nyingi na itaharibu uwezo wake wa Soka!!!..na BR ni MANAGER ndo anaamua!..
I can assure you we were NEVER in for FALCAO, never, zilikuwa ni propaganda tu za LFC kupitia #Echo ili kupoza machungu ya mashabiki kipindi kile, Na kwa REUS ndo kabisaaa...Mpka J.W.H mwenyewe alitweet kuhusu kero anazozipata kutoka kwa fans kuhusu REUS...(hatujawah kumtaka REUS)...ndo maana kipind kile cha usajili habari za kina REUS na FALCAO nilikuwa nazipinga sana humu NDANI!!
Nina uhakika Danny akirud atatusaidia..lakini itabidi aikute team katika hali nzuri!!!!
LFC ilikuwa inahitaji Mchezaj mmoja tu wa kufanana kiuchezaji na Suarez ili kubakiza ile pace ya LFC...Di mari na Sanchez kati ya hao, Mmoja wapo angetubeba sana!!!..
LVFC will be OK without Suarez!Tutakuwa OK na tutashindania ubingwa na May katikati mtakumbuka maneno yangu!
Pamoja na Suarez msimu wa jana kuna kipindi kabla ya January Arsenal na Chelsea walituzidi points 10+ lkn zote tukazifuta!!
So far tupo sawa points na Arsenal pamoja na kuleta two world class players mbona wenzetu wavumilivu?Man City katupita points 3 tu na project yao ya mult million mbona wao wavumilivu?Why not us? MosDef Magnficient Tores Mzee Wa Rubisi
Uchambuzi ulioshiba namna hii huwa unanipa furaha kama mwanasoka, kudos Mkuu na I have to admit that nimesubscribe kwenye huu uzi mainly kwa sababu ya nondo zako.
Kitu nimeona umeacha hapa kuhusiana na BR kwenda Liverpool kama a young coach mwenye falsafa ya kujenga mayoso ni kuwa, first choice ya FSG baada ya King Kenny kuondoka alikua ni Roberto Martinez, wengi hawajui kuwa ni RM ndiye alitengeneza misingi ya falsafa ya soccer la Swansea, BR alipoenda Swansea ni kama Guardiola alipoenda Bayern kila kitu kilikua in place.
Sasa nina wasiwasi kazi inakua ngumu kidogo kwa BR hapo Anfield kwa sababu kule Swansea alikuta RM kashafanya kazi kubwa, yeye akamalizia padogo, huku kaachiwa majukumu yote ya kuijenga upya LFC na so far amekua akifanya maamuzi ambayo naweza sema ni questionable. Aliyemfichia udhaifu wake na kumng'arisha kama kocha msimu uliopita alikua ni Luis Suarez
LVFC will be OK without Suarez!Tutakuwa OK na tutashindania ubingwa na May katikati mtakumbuka maneno yangu!
Pamoja na Suarez msimu wa jana kuna kipindi kabla ya January Arsenal na Chelsea walituzidi points 10+ lkn zote tukazifuta!!
So far tupo sawa points na Arsenal pamoja na kuleta two world class players mbona wenzetu wavumilivu?Man City katupita points 3 tu na project yao ya mult million mbona wao wavumilivu?Why not us? MosDef Magnficient Tores Mzee Wa Rubisi
suala syo kufanaya vibaya, coz am sure Danny akirudi tutafanya vizuri, BUT itabid tuombee Asiumie tena ili 4-4-2 itumike..
Coz akiumia tena, tutarudi kule kule tena na 4-2-3-1 (ambayo ndo tunaishuhudia sahv)..
The fact kuwa Arsenal na Manure are SHITTER kama sisi ndo inakufanya uone sisi tupo poa tu..lakin the truth is TUNA HALI mbaya sana!!!
Sahiv tunakaa kumsubiri Danny aje kutuokoa wakat we've spent like 115+mill katka usajili..thats not fair aisee!!!
Newcastle utd won against Spurs pale whiteHartLane juzi, na ndo our NEXT game, and tupo away!!!..tuombe tu kusiwe na Suprises!!!

ni kweli man utd are shit right now.....lakini nyinyi SASA HIVI NDIO MKO KWENYE LEVEL YENU.....recall the last 20 seasons not just one flukey season!!!!!!!!!!!! a team with history.
ni kweli man utd are shit right now.....lakini nyinyi SASA HIVI NDIO MKO KWENYE LEVEL YENU.....recall the last 20 seasons not just one flukey season!!!!!!!!!!!! a team with history.
Manchester Utd are SHIT!!