Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Timu bora kwa sasa ni Inter Milan, imetoa goalkeeper bora- Julio Cesar, beki bora Dauglas Maicon, kiungo bora Wes Sneyder na mshambuliaji bora ambaye pia ndiye mchezaji bora wa UCL, Diego Milito.
napenda sana washabiki kama nyie msioweka upenzi mbele,ila sema kocha nae ndio alisaidia timu ,sasa hivi tatizo kocha inter milan mzozo pale,sina imani nae sana
 
Naona pilikapilika za dakika za majeruhi zimekwiva LFC wametoa bid kwa ajili ya Carlton Cole na kuna uwezekano wa kumweka na Babel kwenye package.

Wakati huo huo Paul Konchesky deal yake kwenda LFC imekamilika.
 
Roy Hodgson anajitahidi kuibadili Liverpool iwe kama Fulham....leo mechi ya kushinda wamedraw....

Liv 0 Birmingham 0
 
ACID,....pamoja na kwamba mpo ICU, thread mnainyima Oxygen hii.
 
cobblers-splash_1131072a.jpg

Tuliwaambia dhuluma hailipi, mrudisheni kocha kwa Cottagers
 
cobblers-splash_1131072a.jpg

Tuliwaambia dhuluma hailipi, mrudisheni kocha kwa Cottagers

ha ha ha,...nabado...naitafuta na ile 'special thread ya Man Citeh,' walikuwa na kilomolomo sana wale, kama Spurs tu!
 
Roy-splash_1131177a.jpg

80_cobb_12_682x400_1131205a.jpg

PARTY TIME ... Northampton players celebrate
their spot-kick triumph over Liverpool
 
80_woy_14_380x223_1131206a.jpg

MISERY ... Roy Hodgson cannot look as Kop crash
 
"When you play a team from three leagues below, you expect to win. When you don't win you have to take criticism from the top down. "We must all take our responsibility. It's a major setback for the club as a whole, of course it is."
The match finished 2-2 thanks to David Ngog's late leveller. But Ngog and Nathan Eccleston missed from the spot, allowing Abdul Osman to net the winner. Cobblers boss Ian Sampson said: "I'm delighted - we'll have a few beers on the bus. "You're all more than welcome. We will make it a party bus."
 
...eeehhh? Blackpool pia?
 
kila kitu kina mwanzo na mwisho...
Mpo nafasi ya 18.
Mna kifaa cha Oxygen.
Mna mipira Puani.
Mna mpira wa haja kubwa.
Mna mpira wa haja ndogo.
Ndugu wamekatazwa kuja kumuona mgonjwa Liverfool.
Madokta wanakuna vichwa kukunusuru bila mafanikio.
Humjui anayeingia wala kutoka wodini.

Maskini Liverfool lol
 
Soon Liverpool wataanza kugombania kutokushuka daraja lol, heheh msimind sana ata Man Utd walishukaga daraja miaka ya 70.
 
...eeehhh? Blackpool pia?
Hii timu ina matatizo makubwa sana, in 2 weeks time itakuwa inaaga taratibu,japo ni mapema mno kutabiri chochote,lakini hawapo tena ktk kugombania ubingwa,wala uropa ligi labda waichukue hii ya sasa.
Ngoja tusubiri mpaka X-mass maana timu zinazogombea kubaki PL huwa zinapatikana wakati huo
 
Soon Liverpool wataanza kugombania kutokushuka daraja lol, heheh msimind sana ata Man Utd walishukaga daraja miaka ya 70.
ktk premier ligi kila timu ilishashuka daraja,na hata serie a ilikuwa bado bibi kizee wa turin kushuka daraja,nae akashushwa kwa skendo ya kupanga matokeo.
 
kweli hii sredi imefulia... yani nimepekenyua mpaka page ya tano ndio nikaikuta??

ngoja nirudi ukumbini... tuanze kushinda hata kama ni kwa kuchakachua kama ccm
 
kweli hii sredi imefulia... yani nimepekenyua mpaka page ya tano ndio nikaikuta??

ngoja nirudi ukumbini... tuanze kushinda hata kama ni kwa kuchakachua kama ccm

Aisee poleni sana. Kama usingeiibua leo ungeikuta tayari 'Mortuary!'
 
Soon Liverpool wataanza kugombania kutokushuka daraja lol, heheh msimind sana ata Man Utd walishukaga daraja miaka ya 70.
the only problem yetu waswahili hatuna research... by then footbal was amateur, but now its commercial... WBA would have been champions kama si ufisadi wa scums na manure

eniwei... i will be back in January... ila nasikitika sana baadhi yenu mnakua kama lady choma!
 
Soon Liverpool wataanza kugombania kutokushuka daraja lol, heheh msimind sana ata Man Utd walishukaga daraja miaka ya 70.
the only problem yetu waswahili hatuna research... by then footbal was amateur, but now its commercial... WBA would have been champions kama si ufisadi wa scums na manure

eniwei... i will be back in January... ila nasikitika sana baadhi yenu mnakua kama lady choma aka gang choma!
 
Back
Top Bottom