Tisha-TOTO
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 1,175
- 604
BR Hana akili.....! Na hiyo tarehe 8 Tunakuja kumpiga hapo kwake.....!
Kwani tarehe 8 LFC inacheza na kijitimu kinaitwaje vile?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BR Hana akili.....! Na hiyo tarehe 8 Tunakuja kumpiga hapo kwake.....!
Ni kweli aisee, ningejua ni bora ningetizama wa Arsenal... nilitegemea Madrid wangepiga ball la nguvu, yaani sijui walikuwa wanacheza vitu gani, wameniudhi kinyama...

Madrid's assault begin at Benebeau
Am so proud of my liverpool football club!
Ningekuwa BR kikosi hiki cha leo kingeanza na Chelsea ningemuanzisha Hendo tu badala ya Markovic!
Utaona Jumamosi atakavyo tuharibia team na mfumo wake wa ajabu!Liverpool team tunayo tatizo ni kocha tu
Combo ya Lucas+Can+SG..PC kama.kawaida kwenye Free role..MB and Borini upfront...RS roamin around nyuma ya hawa waheshimiwa...
BACK FOUR IWE ILE ILE!!
BUT all in all LUCAS LEIVA IS BACKKKK!
EMRE CAN ndo MAJOR SIGNING YA MSIMU.
Waambie hao RENT BOYS wamlete Matic huyo...hahahahahaha!! CAAAAAAAAN (he's only 20 tu aisee)..bossing the RMA midfield siyo kitu kidogo aiseee!!!!
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAH!!!
unapataje ujasiri wa hata kufikiria unamfunga chelsea...ukiwa huna beki ya kumzuia costa na hazard..achilia mbali oscar na willian..huna fowadi ya kuwatoa jasho cahill na tery na ivanovic..sioni BR akimzuia morinho
..ila emre can anatakiwa afanye dirty job ya kumzuia fabregas km alivyofanya fellaini...
Akipanga kama back line ya leo Chelsea namchapa bila hata wasiwasi lkn wasi wasi wangu anaweza mtoa Kolo akamleta Lovren!
BR ananikosesha sana raha kwa kweli