Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dakika ya 25 tunauchezea mpira bila kwenda kwenye 18 ya Swansea!Nafasi moja clear tumeitengeneza so far
 
Swansea kwa mara ya kwanza wanafika golini!Dakika ya 30 na sekundu 12
 
Goooooooooooooooooooooooooooooo!

Alberto Moreno anafunga bao zuri sana dakika ya 32 na sekundu 49

Sisi Majogoo 1 Swansea 0
 
Dakika ya 45:sekunde 08 Cou anapiga mkwaju mkali sana nje ya 18 lkn Fabiasnk anapangua kuwa kona
 
Moreno na Manquillo wamefaidika na kukaa nje muda mrefu!Leo wapo very good hasa Moreno
 
Goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
La pili anajifunga kipa Fabiansk baada ya kumpiga na mpira Lallana

Sisi Majogoo 2 wao Swansea 0
 
SWANSEA wanapata bao 1 dakika ya 50
Mabeki wa Liverpool wanakosea kuuondoa mpira hapa
 
Ohhhh My God
Raheem Sterling anakosa yy na kipa,anagongesha mwamba dakika ya 53
 
Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Adam Lallana very good move never seen before
Majogoo 3 Swansea 1
 
That's Adam Lallana for ya, the real Adam Lallana.............. brilliant!
 
Raheem Sterling anamzunguka keeper Fabiansk lkn anapiga kwenye nyavu ndogo,dakika ya 63 tunakosa bao
 
Skrtel anakosa bao la wazi kabisa,dakika ya 67 na sekunde 47
kona inakuwa
 
Gooooooooooooooooooooooo la 4

Jonjo Shelvey anajifunga hapa!Bao la 4
 
"Gari la Liverpool limewaka",njiani sasa tukimkuta yyt yule anapigwa!
Majogoo yumeanza kazi,niliiona jinsi tulivyocheza na Burnsley week jana nikajua sasa tupo OK
 
yaan hii gem ingekua 7 sa hv, naona BR ameamua kufufukia kwny former club yake
 
Back
Top Bottom