The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusema kweli Steven Gerrad muda wake umefika na mwili wake na nyuso inaonyesha Hamu Ya kuendelea EPL au kucheza Uengereza au kuishi kwa muda wa miaka mitatu Mbele hataki tena ile Slip vs Chelsea imemuumiza sana, Mie kama mshabiki iliniumiza Jiulize yeye ukitegemea Umri wake na ilikuwa inchi chache abebe na Yale maneno yalimrudia karma ya kusema ku slip , nafikiri mshauri wake Kampa ushauri Mzuri aende nje ya Uengereza acheze Mpira kwa kujifurahisha amefanya mengi kafanya steven gerrad Akitizama nyuma anaweza Kuwa proud na aliyoyatenda Premier a League ndio alioitaka katika zote ila kuna Wachezaji wengi atizame Steven Gerrad hasa wa kimataifa Hamu yao haikuwa kwenye Ligi wanaocheza Kombe Hamu yao ilikuwa European Cup na hawa kubeba European Cup ndio mpira, Ronaldo Lima Kina Cannavaro si wafananishi nao ila mtu kama Ronaldo Lima ni World Class Kule Brazil wakitizama Europe Games wanafikiria kubeba European cup CL ila yeye mwenyewe alikiri Hamu yake ni CL hakubahatika nayo ndio SG Hamu Yake ni EPL hakubahatika nayo ila ka win alivyoweza ku win ukitegemea Steven Gerrad hakuzungukwa na World Class players katika Liverpool Football Club kafanya Mengi kwa Nguvu zake kuliko as a team kwa hilo nampa heshima.Breaking News-SG katangaza(muda si mrefu) kuwa huu ni msimu wake wa Mwisho na Liverpool. Nadhani mliokuwa mnampinga mmefurahi kusikia hili.
cc Pazi
Asante, Nawe pia mtani mwaka mwema
SG anatuharibia fast movement kabisa na BR anajifanya haoni kabisa too sad kwa kweli
Ila Tots kiukweli wamefanya mwaka wangu uanze salama kabisa mtani
Hahahahah!!! Haya bana ngoja aje Ntuzu utamsikia.