Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Fananisha na hizi za SG!!Ni vitu viwili tofauti kabisa!Ni sawa na bajaji na Benzi!Mtu anayeteuliwa hadi 3 bora ya Ballon na MCHEZAJI BORA WA EPL unafananisha na mtu mwenye tuzo nyingi za EPL alizopata kwa sababu ya uimara wa team yake na uzuri wa kocha wake kweli?

By Erick tryphonehizi ndio tuzo alizo chukua Steven Gerard akiwa Liverpool

*.Ballon d'Or Bronze Award(1): 2005
.UEFA Club Footballer of the Year(1): 2005
*.FWA Footballer of the Year(1): 2009
*.FWA Tribute Award(1):
2013
*.PFA Players' Player of the Year(1): 2006
*.PFA Young Player of the Year(1): 2001
*.PFA Fans' Player of the Year(2): 2001, 2009
*.England Player of the Year Award(2): 2007, 2012
*PFA Team of the Year(8): 2001, 2004, 2005, 2006, 2007, 2008, 2009, 2014
*Liverpool Top Goalscorer(3):2004¨C05,[219]2005¨C06,[220]2008¨C09
*.UEFA Euro Team of the Tournament(1): 2012
*.UEFA Team of the Year(3): 2005, 2006, 2007
*.FIFA/FIFPro World XI(3): 2007, 2008, 2009
*.ESM Team of the Year(1): 2008¨C09
*.Goal of the Season(1): 2006
*.UEFA Champions League Final Man of the Match(1): 2005
*.FA Cup Final Man of the Match(1): 2006
*.Premier League Player of the Month Award(6): March 2001, March 2003, December 2004, April 2006, March 2009, March 2014
*.ECHO Sports Personality of the Year Award(1): 2014
*.Member of the Order of the British Empire: 2007
*.Honorary Fellowship fromLiverpool JohnMoores University: 2008
*.BBC Sports Personality of the Year Award¨C 3rd Place: 2005
*.IFFHS World's Most Popular Footballer: 2006

Thank you Malafyale
 
Thank you Malafyale

Naanza kuamini maneno ya MosDef kuna watu wameanza kuona soka hivi karibuni!

Scholes hata uchezaji bora wa EPL hajawahi kupata na huko kwenye Ballon ndiyo wala hajawahi kugusa!Mchango individually kwenye team zao kufananisha SG na Scholes ungekuwa karibu na mm ningekuita chizi na nisingejali uta react vipi!

Scholes angecheza Liverpool hii ya SG hata FA achilia CL asingechukua!Ndiye yeye na wenzake waliposubiri hadi John Terry ateleze wawe bingwa!Ndiyo yy na wenzake walipozabwa na Barca mara 2 fainali za CL!

Aende akatazame SG kule Ugiriki fainali ya CL na fainali ingine miaka 2 baadae jinsi mtu huyu alivyokuwa fundi!Man of the match fainali ya Instanbul haikuja hivi hivi!

Juzi siku nzima nairudia fainali hii!!Tunaingia uwanjani ukiwa 3-0 SG anawafuata mashabiki wetu anawaambia inukeni na shangilieni!!Yaliyotokea baada ya tukio hili HAMNA ASIYEJUA
 
Last edited by a moderator:
ask Zidane,Xavi and other top international players.....

Hahahahaha!!!

huyo zidane Unayesema nimuulize nilikuwa nimeshaweka Quote yake kwenye posts zangu hapo juu, ngoja niirudie hapa:

"Is he the best player in the world? He might not get the attention of Messi and Ronaldo but yes, i think he might be. If you dont have a player like Steven Gerrard, Who is the engine room, it can effect the whole tem" - ZIDANE

Na hii ni ya SIR ALEX FERGUSON

"He has become the most influential player in England, bar none, Everywhere the ball is, he seems to be there, He's got that unbelievable engine, desire, determination. Anyone would love to have Gerrard in their team" - FERGIE..

Huyu ni PELE (mchawi wa soccer)..

"Gerrard is an excellent player, absolutely world class, if i was a manager, Everywhere i went, i would buy Steven Gerrard. He is what Brazil needs, To me he is one of the best midfielders in the world - PELE

hao ni wachache tu, hao international top players akina Kaka, Henry, Ronaldinho, Viera wote hao Quotes zao zote zipo hapo juu kwenye posts zangu...

Muulize midfield yoyote alyezaliwa kwanzia 90's role model wake ni nan (hawa kina Wilshere, Ramsey, kina Burgos, Can, Ross barkely, Bastian wa bayern Munich, Tony kroos wa RMA, Nuri sahin wa Dortmund etc tafuta interview zao uwasikilize wakat wanakuwa walikuwa wanamwangalia nan kama role model wao)..na Mbona hamsemi kuwa MUNGU wenu wa Manchester Wayne Rooney was mostly influenced by SG wakat anakuwa tangu yupo everton???... kwann asiwe scholes???

kwann akina KAKA wana heshima kubwa kwa SG na syo Scholes!???

kwann isiwe scholes???
 
Ebu weka links kuonyesha hizo timu kubwa zilizomtaka Gerrard, na links zinazoonyesha kuwa yeye alikataa.

Pili, kuna mkuu awali amekwambia SG bila ya akina Xabi Alonso, Mascherano, Torres na Suarez, ameifanyia nini Liverpool? Katika mashindano ambayo Liverpool imeshinda vikombe, ebu weka lineups, halafu udhiirishe namna SG alivyoibeba timu bila ya hao niliowataja juu na wengineo.

umesema kuhusu Link, ngoja nikupe hyo interview ya Juzi ya Zidane kuhusu SG..katoa historia yote jinsi SG alivyoitosa RMA TWICE...Enjoy..

http://www.liverpoolecho.co.uk/sport/zinedine-zidane-wanted-steven-gerrard-8378457
 
Ebu weka links kuonyesha hizo timu kubwa zilizomtaka Gerrard, na links zinazoonyesha kuwa yeye alikataa.

Pili, kuna mkuu awali amekwambia SG bila ya akina Xabi Alonso, Mascherano, Torres na Suarez, ameifanyia nini Liverpool? Katika mashindano ambayo Liverpool imeshinda vikombe, ebu weka lineups, halafu udhiirishe namna SG alivyoibeba timu bila ya hao niliowataja juu na wengineo.

Afu vitu vingine kama hamna uhakika navyo muwe mnakaa kimya au muwe mnaomba kusaidiwa na mashabiki wenyewe wa LFC..

SG asingeng'ara bila ya kina Masch, Alonso, El nino na Diaz????

Kina Masch, Tores na Diaz walikuwepo wakat SG anaibeba LFC miaka ya 2004's na kikosi chenye ST's butu kama kina BAROS??..walikuwepo wakat anaibeba LFC kule instanbul??, walikuwepo wakat anaibeba LFC kwenye FA?? walikuwepo wakat anaibeba LFC kwenye UEFA cups??? walikuwepo??

Mascherano katoka na kipi LFC??

Diaz zaid ya Carling Cup alitoka na kipi LFC??

Mchezaji yupo ndan ya Club kwa zaid ya miaka 17, leo hii mtu anakuja kusema bila kina Masch asingeng'ara!!!!....for real???

hao kina Masch, Tores na Diaz, wameiletea kipi LFC kwa vipind vifup walivyocheza pale LFC???

SG kaibeba team yupo na kina Voronin...katika miaka yake 17 ya Pale LFC, SG kacheza katika TEAM bora mbili tu za LFC, ile ya 2008/2009 na ile ya 2013/2014, zingine zote zilikuwa ni mbovu, lakin akashinda UCL, FA cups, Carling Cups, UEFA cups, European Cups etc..kwenye hizo team bora za LFC kwa kipind cha miaka 15 alishinda nazo nn???

Alonso kamnga'risha SG???

msimu wake wa kwanza Alonso Pale LFC unajua ulivyokuwa???..una tofauti gani na huu wa Lovren wa sasa????..nani alyemsaidia kusettle kwenye team??? SG ndo mungu wa Xabi Alonso katika dunia ya Soccer, kila anapoenda ana-mpraise..juzi kamtaja SG kama "HERO" wake..coz ndo alyefanya mpaka Leo hii tuitambue thamani ya ALONSO katika mpira...ndo maana SG alipoalikwa na Kituo cha ITV cha UK, kama mchambuzi katika ile fainali ya mwaka jana ya UCL kati ya ATM vs RMA, baada ya Xabi kujua kuwa SG yupo Studio akichambua game, Alitoka alipokuwa kakaa kule uwanjan na kwenda mpaka ndan studio kumsalimia SG kwa heshima..(everybody saw that)

Kipind Alonso anakuja LFC, team ilikuwa imejaa kina Traore, Finnan, Baros, Cisse, Etc..lakin SG alikuwa anaibeba ile team..

Muwe mnafanya kwanza Research.
 
Eti Scholes alikuwa mkimya, ndo maana hatukuwahi kusikia team zikimtaka..na Eti alikuwa loyal sana...

Kina Philip Lahm ni LOYAL na WAKIMYA sana, lakin kila siku tunasikia wakihusishwa kwenda na team zingine pamoja na UKIMYA wao...

LOL..
 
17 years of SG at LFC, ndo MCHEZAJI PEKEE DUNIANI na KATIKA LEAGUE KUU YA UINGEREZA kufunga katika UCL final, UEFA cup final, FA cup Final,na League Cups Final..

ANCELOTTI on SG
"He is the COMPLETE midfielder, He has fantastic shots, passes and Skills, He is undoubtedly one of the best Midfield players in the World. Full stop" -CARLO ANCELOTTI.
 
Mkuu msome AGUERO abaye HAFICHI kusema kuwa yy ni shabiki wa Liverpool na alivutiwa na SG!

Watu hawa akina RRONDO wanashindwa kutofautisha mafanikio ya team na mafanikio individually!Kwenye wachezaji wa dunia hii wakusanywe kwa mafanikio ya individual huyu SCHOLES wala hawezi itwa maana hana cha kuonyesha lkn proudly SG ataenda!
 
Last edited by a moderator:
si kweli... sg ni sg, hakuna mwingine

Absolute nawaza sasa hawa akina Nzi hawakumuona SG kuanzia mwaka 200-2009!Wameanza kumuona nahisi kaisha ingia 30!Ilikuwa kila uhamisho ukikaribia Liverpool inakataa offer kibao!Nani alihangaika kuja kwa Scholes?

Kweli Carrick ambaye hata ku make national team WC na Euro alishindwa umfananishe na SG ambaye kuumia kwake 2006 na kukosa WC Waingereza walichanganykwa?

Wameanza kumuona SG kazeeka tayari hawa!He was the man of big match;HAMNA SIKU KOMBE LIPO UWANJANI ALISHINDWA KUFUNGA!Rekodi hii sijui itavunjwa lini na nani!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu msome AGUERO abaye HAFICHI kusema kuwa yy ni shabiki wa Liverpool na alivutiwa na SG!

Watu hawa akina RRONDO wanashindwa kutofautisha mafanikio ya team na mafanikio individually!Kwenye wachezaji wa dunia hii wakusanywe kwa mafanikio ya individual huyu SCHOLES wala hawezi itwa maana hana cha kuonyesha lkn proudly SG ataenda!

watu wanatupigia makelele kuhusu Scholes...Chelsea wasemaje kuhusu FRANKIEEEE????...

Mpaka ST's walikuwa influenced na SG...
 
Last edited by a moderator:
Absolute nawaza sasa hawa akina Nzi hawakumuona SG kuanzia mwaka 200-2009!Wameanza kumuona nahisi kaisha ingia 30!Ilikuwa kila uhamisho ukikaribia Liverpool inakataa offer kibao!Nani alihangaika kuja kwa Scholes?

Kweli Carrick ambaye hata ku make national team WC na Euro alishindwa umfananishe na SG ambaye kuumia kwake 2006 na kukosa WC Waingereza walichanganykwa?

Wameanza kumuona SG kazeeka tayari hawa!He was the man of big match;HAMNA SIKU KOMBE LIPO UWANJANI ALISHINDWA KUFUNGA!Rekodi hii sijui itavunjwa lini na nani!!
Nzi anaujua sana mpira na EPL..lakini hapa anajaribu kuleta U-Mancs tu..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom