Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tatizo borini ni king'ang'anizi....hataki kuondoka

mi namtetea....BORIN anaipenda liver na anauwezo mkubwa ila hapew muda wakutosha kucheza jambo ambalo lingemjengea kujiamin na kuzoea atmosphere ya uwanjan....hawez kuwa bora akiwa bench na ubora hauj mech moja au mbil..
 
Mkuu MosDef salute sana
..naomba uwe unanipa lineup kwa PM one day before....
hahahahah....mario hata benchi hayupo
 
Last edited by a moderator:
Naona Villa wanachokifanya is to press very high ili Liverpool wasianze konga kuanzia nyuma
 
Back
Top Bottom