Sikupenda Lallana alivyopewa kazi ya marko baada ya danny kuingia...
Ila ngoma ikaendelea kuwa mswano dogo Ibe alipoingia na Lallana kurudi nafasi yake...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Are you serious?
Swali linakwenda na jibu, swali haliendi na swali
Mkuu naona na MIG is getting confidence as time goes. He is now coming out with strong punches
Ni kwanini coach alikuwa akipigwa madongo?
Tatizo wewe hukuuliza swali, umeuliza jibu.
Umekurupuka na hoja isikuwa na mashiko na sasa unatapatapa
Sababu kocha alikuwa anawang'ang'ania Lovren na Baloteli wasio na uwezo sababu tu kawaleta yy na kumuacha nje beki imara wa kati EPL Momo Sakho na Lallana
Swali lingine mwambie tunasubiri
Hoja ziko bungeni hapa kila mtu anachangia mtazamo wake kuhusu Liverpool, acha kukalia politic kwenye kila kitu.
This shows how shallow you're, thinking neno hoja linatumika bungeni peke yake
Ni kwanini coach alikuwa akipigwa madongo?
Hilo neno kwenye siasa ndio mahala pake, Hoja na football wapi na wapi?
Ni kwanini coach alikuwa akipigwa madongo?
Hilo neno halina mipaka katika matumizi yake.
Well, inanonekana umeshindwa kutetea accusation ulizozitoa na sasa unapindisha conversation
No need kuvutana kwenye misamiati
kila ninaposhuhudia Remy anavyopga magoli pale chelsea,chuki yangu kwa BR na transfer committee yake inaongezeka maradufu
Lovren na MB ndiyo ilikuwa tatizo Liverpool!
Nina uhakika 100% nampiga Everton kwake
Beki ya Liverpool ndiyo bora EPL kwa sasa na hii ni fact kutokana na clean sheet za kutosha ktk recent games