Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe huyo can kocha anamkosea saa dah
Hongereni sana watani palipo na ugumu ndipo palipo na neema,kitu cha pili.
Jamaa ni kiraka sana uyu
Hongereni sana watani palipo na ugumu ndipo palipo na neema,kitu cha pili.
Huyo jamaa hapa alipo cheza sasa hivi ndo kwake kumbe beki hua anaokoa tu jahazi aseee
Dah walau sasa huu ndo ukubwa ila Emre can tuna jimbe kocha tu ndo kavurugwa
Watani mnatia aibu mno,hakuna mmaliziaji mzuri,madogo wanawatoa nishai.
Shukuruni Sterlide kaokoa jahazi.
Cc Malafyale Ed n Edd nEddy
Watani mnatia aibu mno,hakuna mmaliziaji mzuri,madogo wanawatoa nishai.
Shukuruni Sterlide kaokoa jahazi.
Cc Malafyale Ed n Edd nEddy
Unaangalia wapi wewe sturrige tena?