Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekupata vizuri!!
Nilijaribu kuangalia alichokifanya na kilichofanywa na hawa tulionao sasa, ni kweli kabisa kwetu uyu Aspas hawezi kupata namba, ila amefanya vizuri na hizo goli zake nyingi za Copa tena ingawa hana namba wakati huku nyumbani Lambert, Balotelli na Borini Ukichukua mechi zao walizocheza za UCL, epl, FA cup na Carling hata goli tano hawafiki kila mmoja, wakati Origi nae kacheza zaidi ya game 22 France na goli zake 3.
aspas na baloteli ni mizigoMr Aspas, alifanikiwa kuifungia LFC goli MOJA tu tena kwenye FA Cup
Kwenye League ndo kabisaaaa, katoka mtupu na alipata minutes na Apps nyingi kuliko hawa ndugu zake wa sahv.
| Iago |
| Aspas |
| Forward |
| 1 Aug 1987 |
| Moana |
| Spain |
| Spanish |
| 15 |
| 1 |
| Mario |
| Balotelli |
| 45 |
| Forward |
| 1.89m |
| 86 kg |
| 12 Aug 1990 |
| Palermo |
| Italy |
| Italian |
| 19 |
| 2 |
My brother, hebu angalia picha ya Scholes na kengele zake ndogo... but we just kept that private kwa sababu soka ni kazi...
sasa huyu Salamander analeta za Isha mashauzi humu, wacha tu ale za chembe
View attachment 224855
| Rickie |
| Lambert |
| 9 |
| Forward |
| 1.87m |
| 77 kg |
| 16 Feb 1982 |
| Kirkby |
| England |
| English |
| 24 |
| 3 |
| Fabio |
| Borini |
| 29 |
| Forward |
| 1.80m |
| 74 kg |
| 29 Mar 1991 |
| Bentivoglio |
| Italy |
| Italian |
| 36 |
| 3 |
Iago Aspas Forward 1 Aug 1987 Moana Spain Spanish
[TD="class: ProfileList"]First Name[/TD]
[TD="class: ProfileList"]Surname[/TD]
[TD="class: ProfileList"]Position[/TD]
[TD="class: ProfileList"]D.O.B.[/TD]
[TD="class: ProfileList"]Town of Birth[/TD]
[TD="class: ProfileList"]Country of Birth[/TD]
[TD="class: ProfileList"]Nationality[/TD]
15 1
[TD="class: ProfileHistory"]Total Appearances[/TD]
[TD="class: ProfileHistory"]Total Goals[/TD]
Ni kilio changu jamaa, awafunge kwa mara ya mwsho.Hiyo picha ya kwanza mr.wise SG alikuwa kawapiga bonge ya kamba, upande wa kulia huku
Afu akawa anakimbia kwa kuzunguka uwanja huku anawatukana sana Hao blue noses, alipomaliza kuwatia matusi, akaweka mkono Sikio lake la kulia, kuwasikizia watajibu nini, Pimbi wote Pale Goodison park wakawa kimyaaaa...
I MISS THAT SG man..MR. LIVERPOOL.
Fabio Borini 29 Forward 1.80m 74 kg 29 Mar 1991 Bentivoglio Italy Italian
[TD="class: ProfileList"]First Name[/TD]
[TD="class: ProfileList"]Surname[/TD]
[TD="class: ProfileList"]Squad Number[/TD]
[TD="class: ProfileList"]Position[/TD]
[TD="class: ProfileList"]Height[/TD]
[TD="class: ProfileList"]Weight[/TD]
[TD="class: ProfileList"]D.O.B.[/TD]
[TD="class: ProfileList"]Town of Birth[/TD]
[TD="class: ProfileList"]Country of Birth[/TD]
[TD="class: ProfileList"]Nationality[/TD]
36 3
[TD="class: ProfileHistory"]Total Appearances[/TD]
[TD="class: ProfileHistory"]Total Goals[/TD]
this season, Borin ana Apps 36???
Nadhan unahesabia tangu ajiunge 2012????
Apps za msimu huu za borini na Apps za Aspas msimu uliopita..
Ukifanya comparison kwa takwimu hizo, utakuwa haumfanyii fair Borini..