Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Streling jamani daaah hizi wasteful too much!
Anakosa bao la wazi hapa dakika ya 53
 
Mpira wa kumiliki bila kushambulia kwa nguvu golini kwa adui, ukija kustuka ni dk 88 ndio unajifanya kushambalia, alafu haikawii kufanya mistake moja wenzio wakakufunga
 
Emre anapanda mbele anatengeneza nzuri sana kwa Dan anapiga anakosa
 
Emre Can anafanya madoido kwa Lukaku nusura yamtokea puani inakuwa kona tasa
 
Siyo matokeo mabaya!Liverpool walitengeneza nafasi 3 na Everton nafasi 0
 
Back
Top Bottom