Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

i'd go with Lovren/kolo at the back tomorrow!!

Can and Hendo in the midfield

Coutinho/lallana and Sterling behind Sturridge!!!
 
Well said Rogers...

No gurantee JH will be next captain and for me nooo... i will give to Skatel or Sakho as he is the french Capt now...

Sturridge and RS have egos and british media support them but for me MB can still make is at Liverpool...

kiukweli even i ningeambiwa nimchague captain nafikiri skartel anafaa zaidi ya yeyote pale baada ya SG.
 
i'd go with Lovren/kolo at the back tomorrow!!

Can and Hendo in the midfield

Coutinho/lallana and Sterling behind Sturridge!!!

Mkuu, Lovren hafai kabisa kwenye tense game, he is the most calamitous defender in EPL
 
Southampton, nguvu yao ipo kwenye kiungo Aisee!!!

Allen hawez kabisa kuwafrustrate kina Wanyama!!!!
Mkuu... Kolo would do 300% better that Lovren

we dont need Lovren uwanjani kabisa

ikiwa mbwai kabisa, then we should have Emre nyuma na kolo, adam, hendo katikati

Kolo advantage ni ile kukimbia kama road runner full time
 
Allen anapendwa sana na BR,BR anampa sana nafasi yule jamaa,mie huwa nikimuona Allen anaanza game yeyote ile huwa nafuta kabisa matumaini ya ushindi aisee,Allen is awful,but as long as ni Muingereza,BR will never criticize him on media! Lakini yule Allen nadhani anachezeshwa out of his natural position, Nimesoma mahali kuwa Nigeria wanafanya mpango Ibe akaichezee Super Eagles!
 
Mkuu... Kolo would do 300% better that Lovren

we dont need Lovren uwanjani kabisa

ikiwa mbwai kabisa, then we should have Emre nyuma na kolo, adam, hendo katikati

Kolo advantage ni ile kukimbia kama road runner full time

MKUU ad lin lovlen atakaa bench na bench ndo anazid kuwa mbovu zaid,af kama kujifunza kasha jifunza sababu sio kwamba ni mbovu au hajui nando mana tulifurah usajil wake coz tulijua ni kitasa chamaana so makosa alofanya ni kombinenga na defenderz wenzake haikukaa sawa but nahic atakua kashajifunza kitu na BR atakua kamuweka sawa..itafikia atua tutamuitaj sana ila kwa sababu ya bench basi ndo atakua hana maana kabisa..ITS TYM FOR LOVLEN
 
work rate ya mario iko juu kwa sasa...akishirikiana na Sterling n Starridge upfront kati akasimama Coutinho, lallana, ibe, Jonson... kolo n lovren, moreno n Can... ushindi nauna... possession itakuwa juu...
 
tatizo BR haelewek anaweza fanya yake ad ukashangaa
 
Ingewezekana kurudisha muda nyuma
 
Attachments

  • 1424598297018.jpg
    1424598297018.jpg
    33 KB · Views: 65
Jamani kwanza nawapa hongera mashabiki wote wa liverpool leo ndo nimejiunga kwa mara ya kwanza jamii forum nahitaji ushirikiano wenu mimi ni moja ya mashabiki wa kutupwa wa liverpool

karibu mkuu..ynwa.
 
Back
Top Bottom