Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Happy birthday to no. 50
Who turn 21 today
#YNWA
 
Attachments

  • 1425290410175.jpg
    1425290410175.jpg
    47.3 KB · Views: 77
Blah blah blah....

Stats don't lie chief....

Re nzi: hapo ndipo akili yako ilipoishia kuhusu mdudu nzi?!? Unapokunywa fanta au bia; na unapokula chakula, vinakuwaga na fecal matters mpaka nzi avutiwe navyo? Yaani wewe unapomwaza nzi unawaza mavi tu?!?

Mkuu haya yote umejitakia mwenyewe.... Sa umekuja kufanya nini huku sebuleni kwa wanaume umeacha kule kwenu jikoni??
 
I think we should give Brendan Rodgers credit... He is turning things around and his plans are working really well kwa sasa

Imagine we didnt have Studge for over 75% of the game and didnt even miss him that much

And this you have to whisper....there has been no mention of Stevie G by the media for the second week now, and counting. Whisper please...
 
Hongera sana mtani kwa ushindi wa jana nilikutafuta sana hukutokea umekuja mwishoni.

Hahaah asante mtani

Nilikuwepo humu kusifu yale magoli yetu hatari ambayo mpaka sasa hakuna timu inayoweza kuyalipa na kumsifu BR kunifanya siku hizi natamba tu barabarani bila wasi

Nikajua hutakuja jukwaani kwetu maana siyo muda ile nafasi tunaichukua. Umejiandaje kwa hili mtani?
 
Mtani Mimi toka jana mechi ianze nilikuwa humu waliposawazisha City na kuna wakati mlikosa magoli mengi nikakutafuta basi nikaona kimya nikajua mtani wangu presha imepanda....

Kwahilo mtani sina mashaka najua halitatokea na huyuhuyu LVG wangu mwenye falsafa ngumu tutavuka ........
 
Blah blah blah....

Stats don't lie chief....

Re nzi: hapo ndipo akili yako ilipoishia kuhusu mdudu nzi?!? Unapokunywa fanta au bia; na unapokula chakula, vinakuwaga na fecal matters mpaka nzi avutiwe navyo? Yaani wewe unapomwaza nzi unawaza mavi tu?!?

Kaka, easy does it!! I was just acting as a provocative agent, just like you did... I've got nothing but love for you and your support to LIverpool

Comparing Cou to Mata was a joke, and you made me laugh, indeed it was a good joke
 
Mtani Mimi toka jana mechi ianze nilikuwa humu waliposawazisha City na kuna wakati mlikosa magoli mengi nikakutafuta basi nikaona kimya nikajua mtani wangu presha imepanda....

Kwahilo mtani sina mashaka najua halitatokea na huyuhuyu LVG wangu mwenye falsafa ngumu tutavuka ........

Ahhhahha mtani jana sikuwa na presha sema nilikuwa na hasira tunavyokosa magoli huku Lallana naye akifunga ya offside

Mtavuka nafasi ya tano kwenda nne 😛😛😛

Siunaona kocha wenu anakuja na makaunta book utadhani yuko advance PCB/PCM huku kocha wetu akija na ka-notebook kadogo kama lecture vile 😉😉😉

Jitahidini muwatoe arsenal mtani
 
Back
Top Bottom