Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huu Ulizungushwa kuwazunguka mabeki

263E1AAD00000578-2975628-image-a-5_1425303264418.jpg
 
Brendan Rodgers , speaking at a press conference
to preview Wednesday’s clash with Burnley, has
revealed that youngster Jordon Ibe ‘s knee injury
was likely to keep him out until the end of
March.
 
Mkuu haya yote umejitakia mwenyewe.... Sa umekuja kufanya nini huku sebuleni kwa wanaume umeacha kule kwenu jikoni??

Ona sasa naye huyu...uanaume uwa unatambishiwa?!?

Uanaume unaonekana dhahiri shairi kwa vitendo na siyo kwa maneno!

Kama kujitambishia hata akina aunt Bilal nao wanajitamba 😎
 
Back
Top Bottom