Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

tunaitaji goli za kutosha kwa kweli hasa zikiambatana na clean sheet kuongeza goal difernce zetu
 
Tuwekuwa marafi baada ya kumpinga mwedawazimu anayetufukuzia! nawatakia kila la kheri! lakn hyo kheri msilete darajani
 
Back
Top Bottom