Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hani hawa spurs hata kutumwa sikoni hawafai....

Wamefanya hii mechi imekuwa nyepesi kwa hawa jamaa.....
 
Kwa hiyo Loserfool nao wehu...maana walikula 3-0 hapo hapo OT....

Liverpool ya striker Baloteli siyo unayokumbana nayo March 22

Nasisitiza tena hata sare ukipata Anfield najipiga ban hapa mwaka mzima
 
Spurs wamenitibulia siku asee. Sikutegeme kama wangefanya pumba hizi. Bora hata Burnley wana akili kidogo..
 
Whatever happens between now and then, by next weekend Jumapili ifikapo saa 12.30 jioni Tz time top 4 status
itakuwa kama ifuatavyo:

1. Chelsea
2. ManCity / Arsenal
3. Arsenal / ManCity
4. Liverpool

By end of the league in May, these same 4 teams ndizo zitakuwa kwenye top 4 ingawa positions zinaweza kubadilika kwani hata Chelsea uhakika wa ubingwa bado sana tu!

At the rate LFC are currently going, you cannot rule them out kumaliza kwenye top 2.
 
Yaani spurs leo utafikili walilazimishwa kucheza, hawana ushindani, wapo wapo tu wapuuzi hawa, yaani leo wangekaza, kesho tukafanya yetu then wiki ijayo tukamngonga huyu manure ili arudi sehemu yake stahiki
 
Spurs wamenitibulia siku asee. Sikutegeme kama wangefanya pumba hizi. Bora hata Burnley wana akili kidogo..
Spurs were not up to it, it was a bad day in the office

Ila tukubali leo Manure were on fire, and this isnt good new to us
 
Spurs were not up to it, it was a bad day in the office

Ila tukubali leo Manure were on fire, and this isnt good new to us

ndugu zako Everton nao, watatudsapoint vibaya tu...Mara mia uwategemee Aston villa..

But Next sunday's game is HUGE!!!

Top 3 ndo kitu ambacho BR anatakiwa kufikiria now!!!..
 
So SG anatrain kwenye CB role now,

Dah! kweli LFC wamemchoka Mnyamwez wangu, Aende Zake tu USA.. wanazid kumshushia Heshima!!

Ni bora angekuwa Super Sub tu, kuliko kwenda kum-bebesha lawama zingine kwenye CB role!!!!

SG nae kwanini anakubali???
 
Ha ha hahahaaaaaaaaaa Wame apply "UKUBWA JALALA"
 
Back
Top Bottom