Gwamahala
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 3,925
- 2,325
Mtani kila la heri kwenye mechi ya leo.... Mnga'ae vyema (ingawaje nyie LFC mnatuchukia), mtani mna bahati mechi yenu ya leo ni usiku sana hivyo wapaka rangi tutapungua halafu leo hali ya hewa Dar ni nzuri sana inabidi tupalilie ndoa,lol😛😛
Karibu uone tunavyotoa dozi.
