Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dakika ya 7 inaelekea na mpaka sasa tupo 0 - 0. So far naamini hawa L'pool ni wetu tu, tutawa-Arsenal tu
 
timu yangu siku hizi imechoka kweli, yaani tunaongoza lakini hata red label hainyweki:doh:
 
Dakika ya 20, bado mambo si mazuri upande wangu (Chelsea); L'pool wanaongoza kwa goli moja
 
Mkuu uwe unatupa updates hivyo hivyo kwani mimi leo nimebanwa kidogo so siangalii hii match
 
Leo mmiliki mpya wa L'pool yupo uwanjani, lazima wahakikishe hawamwangushi!
 
Invisible,
Terry is Terrible, ule haukuwa mpira wa kupitwa na Torres! Leo tunafunga tela...
 
Back
Top Bottom