Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu. Lakini mi naona tulichelewa sana kufanya mabadiliko hayo. Kama Daglish angekuja mapema zaidi leo hii tungekuwa tunaongea mengine.Wakuu tuache utani siku hizi mpira wenu unjavutia sana.
Hongereni kwa kufanya mabadiriko ya kocha wakati muafaka.
Ha ha haaa! Halafu waende kumlostisha... lolMaxi is on fire.... 7 goals in 3 games and counting
I hope chesi will come and pay us 60M quids for him as well
dang!!!
Asante mkuu. Muhimu ni kuwa umetoa hongera hata kama siyo genuine!!!![]()
Hongereni wakuu naona leo hakukuwa na kubebwa
kama ilivyokuwa Emirates .. .. .
Asante mkuu. Lakini mi naona tulichelewa sana kufanya mabadiliko hayo. Kama Daglish angekuja mapema zaidi leo hii tungekuwa tunaongea mengine.
KWELI KABISA... HIVI PALE EMIRATES NDIPO STOKE CITY ILIBEBWA SIO??? khe khe khe kheheheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.... wasalimie shenzy, walnut, kosheni, chamaki, fabrikashen na njuruu![]()
Hongereni wakuu naona leo hakukuwa na kubebwa
kama ilivyokuwa Emirates .. .. .
spearing ana bahati kuna raul na lucas... hiyo kitu inaitwa raheem ni balaa kubwa, nadhani wanamlinda bado hajakoma mifupaToka Daglish Aje ni Chelsea tu ndio wametuzidi kwa Point. naweza kusema angekuja mapema angesaidia Liverpoolfc pengine ingekuwa stori nyengine.. Hapohapo bora hakutokea mapema yule kitumwa cha Sir Alex, hudgson kaharibu, pia kasaidia Hicks na Shetani mwenzake Gillet watoke, angekuwepo Kenny na Liverpoolfc ingefanya vizuri pengine watu wasingewasukuma nje wale wachawi wawili. Lucas na Spering wanacheza pamoja vizuri japo mie, simfagilii spering sana Bora awekwe dogo SUSO na Kushoto Raheem Sterling.
Maxi is on fire.... 7 goals in 3 games and counting
I hope chesi will come and pay us 60M quids for him as well
dang!!!
Hahahaha...... mate haya mambo ya kuchekeshana asubuhi si mazuri....Chel-Sicks are crazies!..........:bange::bange::bange:
hommie tushamaliza kufurukuta, sasa tunamwaga upupu tuEndeleeni kufurukuta......
hommie tushamaliza kufurukuta, sasa tunamwaga upupu tu
tumeanzisha mshinano ya kufunga magoli kwa staili mbalimbali aisee.... soooo sweeett!!
Asante mkuu. Muhimu ni kuwa umetoa hongera hata kama siyo genuine!!!
Piqe, Affelay.....! What a joke!100 Million for King Kenny to spend for next season.
Wish my dream come true....bring this player to Anfield.
Mnaona Red inavompendeza A.Johson hiyo.
Piqe, Affelay.....! What a joke!