Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mashabiki wengi wa Liverpool walikuwa wanamlilia Daglish ,alifanikiwa kuleta confidence kwa wachezaji lakini sikukubaliana na kitendo cha kumuuza Raul Meireles.Wenye timu wamejitahidi kumpa hela za usajili lakini mambo anayoyafanya ni bora ya Arsene Wenger atakuwa na kisingizio
 
Asalam Alyekum ustaadh wangu BAK...samahani...sijui nakufananisha au ndo wewe wewe?..mm naitwa Manda a.k.a. Muzee ya Nane...ushawai nisikia hata kwa bahati mbaya?

Hahahaha lol! naona umenifananisha "Muzee wa Nane" nimekuona ona hapa katika majukwaa mbali mbali LOL! Tumeenda kusajili midebwedo eti tuje kushindana kwenye EPL!!! Nina wasiwasi tunaweza kabisa kuwemo katika hatari ya kushuka daraja mwaka huu. Inasikitisha na kuuma sana kuona timu ambayo ilihitaji kuongeza wachezaji wazuri wawili au watatu tu ili kuweza kuutwaa ubingwa wa EPL na pia kuwa tishio EUROPE na duniani kote sasa hivi iko mkiani ikisuasua, halafu yule AW bado anapeta tu!!!! Aaaaaarrrrrggggghhhh!

Nasubiri mchapo wa MANU na Chelsea ambao unaanza nusu saa toka sasa.
 
Asante B.A.K....hahaha! finally i found u...twendezetu Ot
 
Kufungwa Kunauma sana..... Siwezi sema kuwa sie Arsenal funz tushazoea koz hakuzoeleki... Poleni sana.... 2nd game mnachezea kichapo.....
 
Utafikiri tunawaonea wivu Arsenal, sijui wachezaji wetu walitaka tupigwe nane?! Yaani wakati wa usajili kila siku nilikuwa nasubiria tusajili mabeki wenye akili lakini wapi, Carra ni mzuri lkn keshazeeka, Skrtel akikutana na mawinga wenye kasi tabu tupu, Agger majeruhi kila siku, G. Johnson spana mkononi, yule dogo Kelly ni mzuri lkn tangu alipoumia sijui mwaka juzi kwenye mechi ya UROPA hachezi mbali na majeruhi. Leo wachezaji wetu utafikiri jana walialikwa na Carrol kwenye vilabu vyake vya komoni. Timu imepumzika wiki nzima lakini utafikiri ndo wamekusanywa leo aaaggggggrrrrrrrr....
 
Tottenham-v-Liverpool-Jermain-Defoe-goal_2654291.jpg
Tottenham-v-Liverpool-Luka-Modric-celeb_2654261.jpg
 
Kufungwa Kunauma sana..... Siwezi sema kuwa sie Arsenal funz tushazoea koz hakuzoeleki... Poleni sana.... 2nd game mnachezea kichapo.....
Mtazoea tuu, ukizingatia kuwa kati ya mechi 16 za ligi mmeshinda nne tuu (ukijumlisha na za msimu uliopita)
 
i am declaring my interest

if daglish subs suarez while leaving carrol on the field ... then i am no longer supporting the kops
 
Huyu Kenny Kashaanza kuniuzi Arudishwe ofisini ndani kule arudishwe Benitez.. anataka kumfurahisha Carroll bila sababu zozote anamtowa Suarez na Handerson si wakutolewa muda ule Kati ndio kunapelekwa alikuwa amtowe Downing aweke Belammy then atowe Caroll aingie Steven G Wake. Downing lazima ajifunze pembeni mtu ukikimbia na mpira unapinda kidogo na kuingia ndani speed sababu beki atakuogopa sio anaenda then anarudi alipotoka. Kenny kama unasoma kiswahili hapa lazima ujue kwenye Football watu kama Suarez ndio Game winner wa Dk za majeruhi kama Kumpa Kobe Bryant Achome 3 sekunde za kufa mtu.
 
Haa haaa! Pazi acha kunivunja mbavu, Mfalme na kiswahili wapi na wapi?!
Halafu kwa nini wenyeji wa hapa mnapotea kiasi hiki?! Yaani juzi chama limeshinda mechi ya Carling, leo ratiba imetolewa lkn hapa ni kimya kama hakuna kitu...au wote wameenda Igunga kupigia debe vyama vyao!!!
 
i am declaring my interest

if daglish subs suarez while leaving carrol on the field ... then i am no longer supporting the kops

I 8-2 to see you abandoning the kop, though I hope you will live by your words!
 
Ingawa ushindi ni ushindi lakini inabidi kukaza sana buti, hasa beki ya Kati pale toa wazee akina Caragher wacheze vijana akina Coartes. Wolves sio wabaya sana na most important Captain G karudi na anaonekana yuko njema sana
 
i am declaring my interest

if daglish subs suarez while leaving carrol on the field ... then i am no longer supporting the kops

Huyu Kenny Kashaanza kuniuzi Arudishwe ofisini ndani kule arudishwe Benitez.. anataka kumfurahisha Carroll bila sababu zozote anamtowa Suarez na Handerson si wakutolewa muda ule Kati ndio kunapelekwa alikuwa amtowe Downing aweke Belammy then atowe Caroll aingie Steven G Wake. Downing lazima ajifunze pembeni mtu ukikimbia na mpira unapinda kidogo na kuingia ndani speed sababu beki atakuogopa sio anaenda then anarudi alipotoka. Kenny kama unasoma kiswahili hapa lazima ujue kwenye Football watu kama Suarez ndio Game winner wa Dk za majeruhi kama Kumpa Kobe Bryant Achome 3 sekunde za kufa mtu.

Huyo Queen wenu bado anaishi kwenye ndoto za pre-premiership....wakati ule kwenye timu ilikuwa ni pair ya big na small strikers, with loads of British players who don't have any skill, just lumping the ball forward for the big man to head anywhere and hope for the best, that's how Loserpool made their history....so expect a lot from Carroll this season.
Nimemwona Suarez alivyokasirika leo alivyotolewa, tuone itakuwaje huko mbele. Kwangu mimi nafikiri Suarez na Bellamy ni morden strikers na wanaweza kufanya good partnership kuliko that donkey Carroll.
 
Haa haaa! Pazi acha kunivunja mbavu, Mfalme na kiswahili wapi na wapi?!
Halafu kwa nini wenyeji wa hapa mnapotea kiasi hiki?! Yaani juzi chama limeshinda mechi ya Carling, leo ratiba imetolewa lkn hapa ni kimya kama hakuna kitu...au wote wameenda Igunga kupigia debe vyama vyao!!!

Tehteh Hatuna Unazi Unazi wa makelele Kwenye Thread kama wanazi fulani washika bunduki hatuna zile tabia za kuingia thread za watu wakati hatuchezi nao kuanza kuwapigia kelele kama wamefungwa au wameshinda kama wakina fulani... mie Thread yangu nii hii nikiingia ya mtu kama tumecheza nao wametufunga naenda kuwapa pongezi tumewafunga najuwa nah aki ya kuwatania. ila mtu hujacheza game na sie unakuja kupiga domo mswaki umesahau haiji. ila bado ni kweli mkuu tuwe tunakuja hapa kupeana moyo lol.
 
i am declaring my interest

if daglish subs suarez while leaving carrol on the field ... then i am no longer supporting the kops

<--------Is this You?????????? or----> Hacker?
 
Huyo Queen wenu bado anaishi kwenye ndoto za pre-premiership....wakati ule kwenye timu ilikuwa ni pair ya big na small strikers, with loads of British players who don't have any skill, just lumping the ball forward for the big man to head anywhere and hope for the best, that's how Loserpool made their history....so expect a lot from Carroll this season.
Nimemwona Suarez alivyokasirika leo alivyotolewa, tuone itakuwaje huko mbele. Kwangu mimi nafikiri Suarez na Bellamy ni morden strikers na wanaweza kufanya good partnership kuliko that donkey Carroll.
Mzee wa chuki binafsi utaunda majina yote yataisha, vipi nini kili/kimewazuia kutengeneza historia yenu na nyie???
Hata hivyo nadhani you should be worried about Torres antics not Caroll.
 
Back
Top Bottom