punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 451
Suarez ni mtata kweli, lakini FA lazima ije na ushahidi mkamilifu kuwa kweli alitamka maneno ya kibaguzi. Kama ni kweli atastahili adhabu lkn kama si kweli evra atafanywaje? Hasa ikikumbukwa kuwa evra ni muongo mzoefu? Nadhani kama Suarez akifungiwa itampa nafasi Bellamy na timu itapeta tu.


