Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

sO FAR mmeshikwa mbaya... its up to Chelsea to take all THREE pts!!!!
 
Vijana pale mbele wanatakiwa watulie zaidi, kuna move kadhaa wameharibu kwa pasi feki au kutotoa pasi kabisa. Wakitulia tunaweza kupata magoli zaidi, japo Chel5 siyo timu ya kubeza, wachezaji wao wote ni wazoefu sana tunatakiwa kuwa makini nao sana.
 
Haaahaaahaaaaa!! Kumbe hao jamaa wanashabikia Chel5...!!

sidhani. ****** ni fan wa Newcastle, nadhani watoto ni MANSIX... Huo msemo umekuwa maarufu huku kitaa, representing anything going wrong way!
 
Back
Top Bottom