Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa Nunez kinacho badilika ni msuko wa Nywele tu [emoji1787][emoji1787], Hzo goli Mbili alizo fungwa kelleher angekuwa ni Allison angeokoa hata moja hapo. Beki zetu zipo exposed sana leo [emoji24][emoji24] Cha mwisho huyu Leno kaikamia game [emoji1787][emoji1787]
 
.
20220105_193554.jpg
 
Njoo basi usiwe unajipitisha na kanga moko kwa wanaume
 
Huyu GAKPO akiwa anatupa quality hii hii kila siku mbona ligi itakuwa nyepesi sana.

Haya na Huyu Anod aise kiungo kimemkaa haswa leo.
 
Back
Top Bottom