Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leo pale villa park, mnaacha points,mechi 15mfululizo pale villa park hakuna aliyechukua points 3. Tunasubiria maajabu yenu leo tuone.

Issue ya injury kila timu iko hivyo,kwa hiyo kila mtu apambane na hali yake.
 
Weekend hii nikiambiwa nichague nani alose game yake kati ya Arsenal au Citizen ,, basi ntaomba Citizen alose Arsenal awin. Bado naamini Citizen ndio mbaya wetu, we have been in pep's nightmare for a long.
Hata wakiloose wote itapendeza
 
As usual tunaweza kuchangamka na kuwa serious pale tutakapotanguliwa kwa goli.
 
Tutafute ile form yetu ya kumaliza game first half,, second half tujilinde dhidi ya injuries, miaka yote ambayo tulibottle title the reason was injuries and poor bench .
Ishu ndugu yangu hii EPL kila mmoja anakomaa sana wakushuka daraja, wakusaka Europa, wakusaka UCL, wakutaka EPL yaani noma sana lakin ndio kusaka majibu mpaka kieleweeke hakuna namna

YNWA
 
Back
Top Bottom