Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ifike wakati wachezaji wanaokula mshahara wa bure tuwatimue

Thiago nadhani umri unachangia hawezi kucheza mechi 20 mfululizo ataumia tu kidogo then atacheza kidogo aachwe ..!

Matip muda wa kumtema umefika mwishoni mwa msimu aachwe ..

Nunez asipojiangalia tutafuteni mwengine
 
Huyu nae wa kuondoka,anachukua mshahara wa bure tu.msimu mzima yuko nje.

1. Hajapenda kuumia.
2. Mkataba unamlinda.
3. Sio kosa lake.

Hata akirudi bado Thiago is not typical no. 6 ila uwe wake uwanjani pair yake na Macca wa mechi ya CITY hata ya Fulham tutapata balance nzuri sana kwenye Mf plus ufundi ambao Klopp atakuwa na kazi ndogo sana ya kufanya.

I can’t wait to see Thiago and Bajcetic hiyo January wataongeza depth na loads of games watasaidia rotation.
 
Trent Hana defensive qualities mkuu

Manure sio wepesi sana

Watu wanasahau ile ni derby, thanks its Klopp our coach, kwa sababu wengi humu wangeandaa timu as if unaenda kucheza na Luton au Norwich huko.

They are united, regardless wa wanayoyapitia we cant take it easy. Tough game.

I don’t expect thriller goals, but i wish to bust them badly
 
Yani game 17 hajakanyaga Uwanjani, anarudi game ya 20 anacheza dakika 10 then game ya 25 anaumia tena anarudi ya 34 anamaliza game 4 za mwisho.

Hapo unakuta Msimu mzima kacheza game 6 tu zilizokamilika.

Halafu amechukua Mshahara wa Ligi nzima. Huyu naye ni new version ya Keita na OX.

Sasa mkuu kama ni wewe ungewaambia LFC wasikulipe sababu hauchezi, umeumia??
 
Huyu tunaambiwa ni Bull Striker wakati ni BALEKE anayelipwa vizuri tu.

IMG_4337.jpg

Ikiwa wewe ni mtu wa mpira utakuwa umeelewa jambo hapa..!!! Ni vile tu mmeamua kuuchagua upande.
 
Ifike wakati wachezaji wanaokula mshahara wa bure tuwatimue

Thiago nadhani umri unachangia hawezi kucheza mechi 20 mfululizo ataumia tu kidogo then atacheza kidogo aachwe ..!

Matip muda wa kumtema umefika mwishoni mwa msimu aachwe ..

Nunez asipojiangalia tutafuteni mwengine

Uzuri wote wanafikia ukomo wa mkataba mwishoni mwa msimu huu, hakuna atakayepewa ofa tena
 
Watu wanasahau ile ni derby, thanks its Klopp our coach, kwa sababu wengi humu wangeandaa timu as if unaenda kucheza na Luton au Norwich huko.

They are united, regardless wa wanayoyapitia we cant take it easy. Tough game.

I don’t expect thriller goals, but i wish to bust them badly
Klopp keshawafukuzisha Makocha kadhaa pale

Natamani tuwatoboetoboe hadi wasiamke on monday

Piga hadi ten hag anakua ten hogs
 
Embu mumpumzishe Saint Anne Miss Liverpool.

Hakuwa serious saaaaaana alikuwa kwenye kilele cha furaha. Halafu yeye ndiye haoni utofauti sio UHALISI, si unajua hisia za kina dada kwenye mpira??
Msimamo wangu ni uleule
Kalleher ni golikipa bora kama Allison tu.

Hayo magoli kwani Allison yeye huwa hafungwi?

Mbona mara nyingi tu tumefungwa na golini yupo Allison
 
Sio ajabu tumewahi kuonena tukaongea ila hizi ID tu ndio msaada, maana watu wanaotumia JF wasiri sana
Mmh aisee
Punguzeni Siri😂

Yawezekana kweli maana mm naonana na watu kupitia vijibiashara vyangu uchwara humu,wao tayari wananijua,Mimi siwajui.

Mwakani tukinyanyua kwapa tukutane kula nyama choma
 
Back
Top Bottom