Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kivumbi kesho[emoji91]
IMG-20231216-WA0034.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimamo wangu ni uleule
Kalleher ni golikipa bora kama Allison tu.

Hayo magoli kwani Allison yeye huwa hafungwi?

Mbona mara nyingi tu tumefungwa na golini yupo Allison

Nakubali Madam Anne, shikilia hapo hapo

Ukijikushtuka Kelleher yupo Newcastle 2nd golie
 
Mmh aisee
Punguzeni Siri[emoji23]

Yawezekana kweli maana mm naonana na watu kupitia vijibiashara vyangu uchwara humu,wao tayari wananijua,Mimi siwajui.

Mwakani tukinyanyua kwapa tukutane kula nyama choma

Aisee hii inawezekana 99.99%
 
Afisa Mkuu wa masomo ni Captain Marvelous
Naye alisema tuchukue mpunga

Akatuletea hadi mbadala wa Salah ,eti Nunez yupo[emoji23]

Tungekuwa kama United huko kama sio Chelsea

Nunez Gakpo na Diaz wote wana goli tisa kwenye 44 appearance.

Diaz mara ya mwisho alifunga 5th November
Nunez mara ya mwisho alifunga 29th October
Gakpo mara ya mwisho alifunga 30th September

Hii ni hatari hapo January Salah akiondoka
 
Haondoki
 
Back
Top Bottom