Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Usinitishe aisee 😂Aisee hii inawezekana 99.99%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usinitishe aisee 😂Aisee hii inawezekana 99.99%
Muda unaenda na makombe hayasimami kumsubiri Nunez ajue kulengaElewa SOON tu inatosha, tunamfua kwenye tap ins
Kalleher our saviourNakubali Madam Anne, shikilia hapo hapo
Ukijikushtuka Kelleher yupo Newcastle 2nd golie
We kwenda🤣Tena Wali kwa maharage
10 itapendeza mwaka huuKops yeyote ukimuuliza idadi ya magoli atakuambia hata 10 kama wataweza kufunga wafunge tu,
mkiwapiga wakina nani nyinyi liverp*umbu amka kwenye usingizi uo bidada mmetuzoea sasa kesho tunataka tuwaoneshe surprise kidogo.10 itapendeza mwaka huu
Yaani mimi binafsi nitajisikia vizuri na utoshelevu tukiwapiga 10
Nyie nyumbu kesho mtakata mauno kama yotemkiwapiga wakina nani nyinyi liverp*umbu amka kwenye usingizi uo bidada mmetuzoea sasa kesho tunataka tuwaoneshe surprise kidogo.
tutawashangazaaView attachment 2844143
Tunachojua sisi ni anakosa magoli
Msianze kumtafutia unafuu kwa kumuweka na losers wengine
Mechi tatu ngumu ndani ya siku 7..Mungu atupe nini tena? Kileleni kuna baridi! Ngoja kwanza kesho tukawatikise shanga za kiunoni hawa busby bbbes wa mchongo! YNWA..
Anfield pamoto mkuu,hao watapiga kelele lakini sio hapo anfield.msimu huu mpaka sasa tumeshinda mechi 7 zote na wastani wa goli 3.tunajua mpira unadunda sio hapo anfield ,kuna kipindi tulikaa miaka 4 hatujafungwa hapo.tunatakiwa tuwe makini Sana mechi ya kesho tusiingie tukiwa overconfident maana Kuna kombe la Ligi tulishapoteza kwa kudraw na Man u wakti wakiwa wako hoi na sisi tulikuwa vizuri Sana(ilikuwa OT)
Game ya arsenal nayo tunatakiwa tuwe makini kupitiliza tukishinda hiyo the future is Bright....Mungu atatupitisha January salama kama tukisajili
Umeanza kuangalia mechi za liverpool lini mkuu? Arsenal ana mwaka wa 12 hajawahi kutufunga anfield pale,msimu uliopita walikuwa na nafasi hiyo wameshindwa kutufunga licha ya kuongoza kipindi cha kwanza goli 2 bila,hizo timu kubwa zote hazina ujanja pale anfield,aston villa watu wanashangaa tu ,tulichomfanya ,anfield tumeshinda mechi7 zote mpaka sasa.Mechi tatu ngumu ndani ya siku 7..
Nna wasiwasi ya arsenal tutadondosha point
Wee jamaa una hali gan huko?If you think of catching arsenal, that’s a daytime dream.
We don’t expect to drop points unless we are hit by injuries.
Kudondosha point sio lazima kufungwa...hata draws ni kudondosha point...Umeanza kuangalia mechi za liverpool lini mkuu? Arsenal ana mwaka wa 12 hajawahi kutufunga anfield pale,msimu uliopita walikuwa na nafasi hiyo wameshindwa kutufunga licha ya kuongoza kipindi cha kwanza goli 2 bila,hizo timu kubwa zote hazina ujanja pale anfield,aston villa watu wanashangaa tu ,tulichomfanya ,anfield tumeshinda mechi7 zote mpaka sasa.
Hata wapinzani wanapaogopa kwa sasa.
View attachment 2843693
Ikiwa wewe ni mtu wa mpira utakuwa umeelewa jambo hapa..!!! Ni vile tu mmeamua kuuchagua upande.