Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Oyaaa nyie livakuku. Kule kwa manyumbu wanasema eti leo watawakanyaga na kuwagaragaza. Wanasema eti kuku hajawahi kumzidi nyumbu na eti leo watawaonyesha kuwa nyie ni kideri squad tu na hamna lolote.

Boss unacheza na Brighton usije ukajisahau hata dakika 1 utakuja kulia
 
Yaani hakuna mechi niliyoingoja kwa hamu kama ya leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Niliona masaa hayafiki
Nunez
Salah
Diaz
Gakpo
Trent

Tafadhalini,
Nipo chini ya miguu yenu

Nahitaji goli mbili mbili kwa kila mmoja
YNWA[emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ifike wakati wachezaji wanaokula mshahara wa bure tuwatimue

Thiago nadhani umri unachangia hawezi kucheza mechi 20 mfululizo ataumia tu kidogo then atacheza kidogo aachwe ..!

Matip muda wa kumtema umefika mwishoni mwa msimu aachwe ..

Nunez asipojiangalia tutafuteni mwengine
kuwatimua ni kuvunja mkataba nao

unapaswa ujipange kuwalipa pia na unawajua FSG wetu
 
Possible lineup
Screenshot_20231217-182517.jpg
 
You will never walk alone! Sisi ndiyo kuku wa kichawi, nyumbu akijichanganya tunamparua. Wajinga wale leo watajikuta na GD ya -8 huko.
 
Kipigo mtapigwa leo kitawafanya muone Christmas na mwaka mpya ni sikukuu za kijinga tu
 
Back
Top Bottom